Wakuu Poleni na Songombingo la Ma Headmaster January hii.
Wakuu nakuja mbele yenu kupata busara zenu na namna mnavyoshughulikia Changamoto za kifamilia.
Mimi ni kijana wa miaka 34 ambaye ni...
Habari wana JF?
Nina mdogo wangu amepata post ya kazi mkoani Tanga baada ya safari ndefu ya kusaka elimu. Ni mwaka na miezi sasa imepita tangu aende kuanza maisha hayo ya kujitegemea.
Hivi...
Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu.
Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na...
Wakuu.
Habari naomba Tupeane Mikasa ulifanyaje ulipompa Demu/binti mimba katika muda ambao haukujiaandaa.
Naona kitu kizito kimetua kichwani maana kuna Bo
Binti nimesababisha Tayari
Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina.
Soma kwa makini kuna fundisho hapa
Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua...
Natafuta mwanamke, msafi msiri, asiwe mke wa mtu, ili nispendi nae kwa wiki 2, kila kitu kwa gharama zangu. asiwe malaya anayejiuza, asiwe mlevi wa kupindukia, awe anayejitambua, akiwa...
Shebby si mwanangu kiviile sema anahusika sana kunipa mapande mbalimbali. Mchizi wangu kibonge Suddy ndo zinapanda sana japokokuwa hana mchongo wa maana hapa town. Huwezi amini majuzi kati...
Wakuu heshima kwenu,
Bila kupoteza muda niwe straight. Nipo kwenye mahusiano na msichana ambaye kimsingi ana maadili, mzuri wa sura na maumbile yake, tabia zake, anajua mapishi, ana akili kwa...
1. Anayekumegea lazima umjue
2. Kusingekuwa na siri katka mapenzi maana mkikamatana lazma watu wajue
Assume umemkuta mke wako wameng'atana na jamaa yaani piga ua kuwatenganisha hamna mpaka jamaa...
Habari za jioni ndugu zangu.
Jamani mi niko tofauti sana katika suala la aina ya mwanamke ambae ananivutia.
Binafsi, napenda sana mwanamke awe na tumbo kidogo yaani lisiwe kubwa saana mpaka watu...
Shemej yenu utadhan amepandwa na kichaa wakuu.. sjui namfanyaje..
Nikwel anachotaka kina mantik na naona kabisa yuko ready... Ila mim sasa siko ready wakuu.. Nahitaj sana msaada kimawazo.. na...
Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi...
Mwanamke anahitaji kuandaliwa sana katika tendo la ndoa kuliko mwanaume hii ni kutokana na maumbile yao, Mwanamke huchukua muda mwili wake wote kuamsha hisia kuliko mwanaume, hivyo nakushauri...
Niseme tu Kwamba sijakurupuka kuleta huu Uzi kuhusiana na suala Zima la wanaume kuchepuka nje ya ndoa zao.
Hili suala nimelifanyia research ya kutosha kwa takribani muda wa mwaka mmoja na...
Baadhi ya wazazi out of love or foolishness wanamuamini mtoto undoubtably wakimchukulia kama malaika mtoto hadi kufikia hatua ya kutokuamini baadhi ya makosa yanayoripotiwa juu ya mtoto au hatua...
Habari za wakati huu mimi ni kijana wa kiume, Mkristo.. kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ... Nahitaji marafiki wa kike
vigezo
Awe mkazi wa Moshi au Arusha mjini, umri kuanzia miaka 18-26...
Ukweli ni kwamba wanaume wote wanaamini kuwa watoto waliozaa na wake zao no wao lakini ukweli wanaujua wanawake
Wanaume tunaishi kwa imani ambayo inaweza kua kweli au uongo ila wanawake wote...
Habarini,
Katika maisha yetu huwa kuna watu wanapenda, kupitiliza na akili ya upendo ukishindwa kuitawala hutopokea ushauri wowote kutoka kwa yeyote na kila atae kushauri lolote kuhusu...