Mahaba ya Pwani........Yananichanganya!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahaba ya Pwani........Yananichanganya!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ligogoma, Feb 10, 2011.

 1. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,136
  Likes Received: 850
  Trophy Points: 280
  Habari wana JF?

  Nina mdogo wangu amepata post ya kazi mkoani Tanga baada ya safari ndefu ya kusaka elimu. Ni mwaka na miezi sasa imepita tangu aende kuanza maisha hayo ya kujitegemea.

  Hivi majuzi alinitembelea kwangu kwa mapumziko, na katika kupiga piga stori alinipa story ya issue inayomsumbua.

  Ana mpenzi kampata huko Tanga, anampenda saana!! Ila tu tatizo la huyu binti ni kwamba, wanapokuwa kwenye majambozi kunako bed, huyu binti hawezi kuenjoy bila kumsokomeza dole la kati dogo.

  Hapo namaanisha kuwa, yule binti huwa anamuingizia dole sehemu za haja kubwa huyu mdogo wangu wakati wanapofanya mapenzi na amejaribu kumuonya lakini inashindikana kwani binti akinogewa tu hujikuta kafanya hivyo. Binti anadai ndivyo alivyofunzwa katika maswala ya ndoa ili kumstarehesha mwanaume na ameshazoea coz wanaume wote aliowahi kumeet nao amekuwa akifanya hivyo na hawalalamiki kama yeye na anamshangaa sana.

  Mimi binafsi nilikuwa najua wanaofanywa hivi ni mashoga but hii ni mupya sana kwangu.

  Hebu tumshauri na tuzungumzie aina hii ya mapenzi niliyoisikia kwa mara ya kwanza, inakubalika kweli?

  Thanx sana
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Here we go again....
   
 3. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Shoga in the making!
   
 4. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Huyo dogo naona ana enjoy ila alitaka kujua kama nawewe umewahi ku-enjoy kihivyo..

  Kama hataki, anashindwaje kumkataza kabisa huyo msichana?

  Na kama haiwezekani kumbadilisha, si amtose tu?
   
 5. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Astakafillah!! hiv huku niko wapi facebook,twitar au jf?
   
 6. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hallow ya kidoleeee! kawaida sana hiyo kaka mwambie asiogope ni aina tu ya kupeana raha
   
 7. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Usishangae The boss, subiri laja hilo kwa yule mpemba
   
 8. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyo dogo ni mshamba wa mambo
   
 9. s

  shosti JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kama nayaona macho yake wakati anasokomezwa huo mdole:laugh:
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  unanitisha
   
 11. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  kajaribu uone maneno yake wala haihusiani na ushoga mimi nawashangaa ina maana watu bado hawajajua raha jamani uuuuwiii. poleni
   
 12. s

  shosti JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  usiogope tartiiiiiibu.
   
 13. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Laahaullah!!!, Jamaa saa hio anngojwa yupo katika point of no return(ORGANISM!), alafu chaaaa!!!, DOLE!!!, Naaam huko ni kufundishana Ushoga, wangu akijaribu hivyo, nyumba ataiona paaa!!!
   
 14. s

  shosti JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  huo ni uoga wa kijinga kabisa,tiuacheni tuwaonyeshe mambo jamani mbona mnatubania:coffee:
   
 15. semango

  semango JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  duuuuh!ama kweli kua uyaone
   
 16. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  on the way 2 ushoga taratiiibu...................
   
 17. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 230
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  jamani......ngoja niwaelezeni huyo bint wa kitanga anayajua mapenzi hasa...sema ameshindwa jinsi ya kujielezea mbele ya huyo bwana ake.................mi naelewa NA WALA HUKO KUINGIZWA KIDOLE HAKUHUSIANI NA USHOGA KABISAAAAAAAA....wapo wanaume wengi tu wanafanyiwa na wanainjoi...watu wanaingizwa ulimi nyi mnashangaa hicho kidole kidogo tena cha mwishoo aaaaaaaaah jamani.....MALE G SPOT kama sijakosea ni tissue zinaitwa PERINIUM...AMBAZO zinapatikana kwa nje lazima usugue ile sehemu inayotenganisha MK....na kende......pale kwa juu ila tissue zenyewe zipo kwa ndani...sa ukitaka uzipatie vizuri shurti kidole kiingie kule matakoni lakini sio wanaume wote wanaopenda LAKINI BABAZANGU MKIFANYIWA MTATAKA KILA SIKU MAANA NI RAHA....orgasm INAKUA YA RAHA AJABU....MI MPENZI WANGU HUWA NAMSUGUA NA NAMSHIKA KWA NJE LAKINI........NA HAIHUSIANI NA USHOGA KABSAAAAAAAAA.............YANI ULIZENI HATA MADOKTA........
   
 18. Sydney

  Sydney Senior Member

  #18
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii kweli kali jamani haha haha haha... imenichekesha sana , DU! mapenzi ni yana mambo ajabu sana, naomba niwaambie hivi haya mambo yapo ila ni kwa baadhi ya sehemu kwa kibongo bongo, mfano huyo dada ni mtanga kule hyo ni kawaida. Nampa pole mtendwa ila akiona inampunguzia utamu aongee tu na mwenzie, akiona haelewi basi atafute mwingine, maana mapenzi na kuumizana kimawazo si mazuri au kukoseshana raha katika shuguli haipendezi!
   
 19. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mie sijaona cha ajabu,kila kabila linaraha yake ktk mapenzi na kila unyago unamafunzo yake na kungwi wake .mbona wanawake wanawekwa vidole nyuma wakati wa tendo na wengi hawatoi nyuma?kama hiyo ndio raha yake hata mti ausokomeze mie naona sawa tu.na ngoja mie niende Tanga kwa kungwi wa huko,nikirudi wanaume wa dar mtanikoma ni mwendo wa vidole 24/7
   
 20. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Mimi sina mchango wowote ila hiyo avata yako tuu. Kama sura ipo hivyo, je kama huko anaposokomezwa kidole mdogo wako pako vipi?
   
Loading...