Ukweli mchungu

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,854
Ukweli ni kwamba wanaume wote wanaamini kuwa watoto waliozaa na wake zao no wao lakini ukweli wanaujua wanawake

Wanaume tunaishi kwa imani ambayo inaweza kua kweli au uongo ila wanawake wote wanaishi kwenye ukweli kuhusu watoto

Kama nadaganya mwanaume mkaripie mwanao alafu mkeo akwambie niachie mwanangu Kwanza baba ake sio wew uone kama ndoa haijavunjika sijui

Lakini mwanamke na amkaripie mtoto umwambie niachie mwanangu kwanza mama ake sio kama hujapelekwa milembe. Shkamooni wanawake wooote
 
Sometimes ni bora ibakie hivyo maana ukweli halisi ukitoka nje, ndoa familia na jamii zitavunjika na kuvurugika.
Tuishi nao kwa akili
 
Biblia imesema wanaume tuishi na wanawake kwa akili kwa sababu wao hawana akili.
 
Ukweli ni kwamba wanaume wote wanaamini kuwa watoto waliozaa na wake zao no wao lakini ukweli wanaujua wanawake

Wanaume tunaishi kwa imani ambayo inaweza kua kweli au uongo ila wanawake wote wanaishi kwenye ukweli kuhusu watoto

Kama nadaganya mwanaume mkaripie mwanao alafu mkeo akwambie niachie mwanangu Kwanza baba ake sio wew uone kama ndoa haijavunjika sijui

Lakini mwanamke na amkaripie mtoto umwambie niachie mwanangu kwanza mama ake sio kama hujapelekwa milembe. Shkamooni wanawake wooote
Kiukweli wanaume siku hizi hakuna
Baba zetu walikuwa wanaume haswaa.
Yaani uzae na mtu usijue uhalisia wa mtoto kuwa huyu ni wako au laah?

Kwamba usimkaripie mwanao hata kakosa kisa unaogopa utaambiwa sio mwanao?
Wanaume wa kileo ni vifurushiiii.
 
Hayo mambo yakawaida mnayakuza sana, kuchapiwa hakujaanza Leo hata Rueben mtoto wa kwanza wa Yakobo alilala na mwanamke aliyezaa na baba yake, Ili mradi mtoto amezaliwa katika himaya yako Wewe Lea tu ndio jukumu lako, mambo mengine yanajiseti yenyewe kama sio wako mbonaa ukweli utajulikana japo huwa unachelewa, lakini ukianza kujipa stress mara unafuatilia unafupisha maisha yako mwenyewe kumbuka tunaishi mara moja
 
Kiukweli wanaume siku hizi hakuna
Baba zetu walikuwa wanaume haswaa.
Yaani uzae na mtu usijue uhalisia wa mtoto kuwa huyu ni wako au laah?

Kwamba usimkaripie mwanao hata kakosa kisa unaogopa utaambiwa sio mwanao?
Wanaume wa kileo ni vifurushiiii.
Ukisema wanaume wa Leo ni vifurushi maana yake na Wewe ni kifurushi maana utataka kuolewa na kifurushi otherwise Uwe wa zamani
 
Kwani si mlikubaliana muishi nasisi kwa akili..tulieni basi
 
Siku zote kichaa huwa anachekesha ikiwa hajatokea kwenye familia yenu....

Mkuu nikupe PoLe kwa yaliyo kukuta.... acha kuchunguza vitu usivyoweza kuvi-control...

Hakika utayafurahia maisha ya hapa Duniani na utaona sikukuu nyingi sana
 
Back
Top Bottom