Hatua hii ikifika mara nyingI mahusiano huvunjika

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
Shemej yenu utadhan amepandwa na kichaa wakuu.. sjui namfanyaje..

Nikwel anachotaka kina mantik na naona kabisa yuko ready... Ila mim sasa siko ready wakuu.. Nahitaj sana msaada kimawazo.. na haya ni mahusiano yangu ya 3 yakifikaga hatua hii huwa lazima yavunjike. Huyu bibie yuko ready 10000% kutaka kubeba mimba.. ugomvi wake na mim ni hilo swala...

Am not ready kabisaa.. na ukizingatia this yr am planning to relocate.. nimemgusia hilo swala ila naona kama anahis namtania . Na sjataka muumiza .. nmefanya kama sito relocate tena ila kiukwel nna relocate mazima...

Sasa anasisitiza mtoto kwelkwel.. uzur kalenda yake naijua so .. amechanganyikiwa kabisa.. Its not fun, anymore hata tukiwa wote anakua na likitu koon.. Well.. namuelewa sana bint huyu.. ni kama nmempotezea muda.. na sjui namlipa nin..

Do i have to feel kama nn a deni kwakee? Au its just life wakuu...

"Changamoto ni nying wakuu"
 
Shemej yenu utadhan amepandwa na kichaa wakuu.. sjui namfanyaje..

Nikwel anachotaka kina mantik na naona kabisa yuko ready... Ila mim sasa siko ready wakuu..

Nahitaj sana msaada kimawazo.. na haya ni mahusiano yangu ya 3 yakifikaga hatua hii huwa lazima yavunjike

Huyu bibie yuko ready 10000% kutaka kubeba mimba.. ugomvi wake na mim ni hilo swala...

Am not ready kabisaa.. na ukizingatia this yr am planning to relocate.. nimemgusia hilo swala ila naona kama anahis namtania . Na sjataka muumiza .. nmefanya kama sito relocate tena ila kiukwel nna relocate mazima...

Sasa anasisitiza mtoto kwelkwel.. uzur kalenda yake naijua so .. amechanganyikiwa kabisa..
Its not fun, anymore hata tukiwa wote anakua na likitu koon..

Well.. namuelewa sana bint huyu.. ni kama nmempotezea muda.. na sjui namlipa nin..

Do i have to feel kama nn a deni kwakee? Au its just life wakuu...

"Changamoto ni nying wakuu"
Naomba namba nimfanyie counselling shemeji yetu, nipe namba yake, anahitaji usahuri
Hakika nitakusaidia
 
Kuzaa na mtu ni hatua kubwa kwenye maisha, na si kitu cha kuchukulia poa kwa mtu makini, itapendeza hayo maamuzi yakiwa consensual la sivyo mmoja anaweza kuona kama amekuwa blackmailed.

Kuna wakati inabidi uwe mbinafsi ili ulinde maslahi yako, hauwezi kumuonea mtu huruma at your own expense, ukizingatia those decisions will affect you for the rest of your life.
 
Back
Top Bottom