Sijui ni kawaida hii au mimi tu

Sijui ni kawaida hii au mimi tu

Mr_S

Senior Member
Joined
Apr 2, 2022
Posts
108
Reaction score
89
Habari za jioni ndugu zangu.

Jamani mi niko tofauti sana katika suala la aina ya mwanamke ambae ananivutia.

Binafsi, napenda sana mwanamke awe na tumbo kidogo yaani lisiwe kubwa saana mpaka watu wahisi ni mjamzoto ila angalau tumbo liwepo. Napenda sana. Napenda kulishika. Napenda kulitazama yaani naweza nikatazama tumbo la mwanamke bila kuchoka hata kwa saa zima.

Hapa nnapofanya kazi, boss wangu ameanza kunielewa vibaya maana hata tukiongea namuangalia tumbo(bila kujijua). Sasa tukiongea lazima ataangalia tumbo lake. Ana tumbo fulani hivi sijui la beer au la kuzaa watoto wengi (naskia mwanamke akizaa sana tumbo linakuwa kubwa kidogo).

Mwanamke akiwa hana tumbo HATA KIDOGO mi hanivutii HATA KIDOGO.

Sasa niambieni huu ni ugonjwa wa akili unaonisumbua au ni hali ya kawaida tu kuvutiwa na tumbo la mwanamke. Nasema hivyo kwa sababu mara nyingi nimesikia/kuona watu wakisema wanapenda wanawake wasio na vitambi/walio flat na kuwananga wanawake wenye matumbo: "pisi mbovu sana ile, tizama lile tumbo".
 
Wale tunaopenda vimbaombao Ila wakivaa
Skirts inachora 3 yani kashape kidogo
Wezere kidogo

Seat yetu iko hapa 🪑🪑🪑🪑🪑🪑[emoji3464]
 
Kijana wa hovyo sana huyu
IMG-20220416-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom