Hakuna namna unaweza kufanya ili usigongewe mke

Mwagito84

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
235
705
Hapa nataka tuelimishane kidogo jinsi ilivyo vigumu kuzuia USALITI kwa nguvu za kibinadam. Hili ni suala ambalo hakuna kanuni inayokubali kuuzuia kwa ukamilifu wa 100% kwani binaadamu ni kiumbe ambaye hubadilika kulingana na mazingira.

Sisemi kuwa kwamba ni lazima USALITI utokee kwenye ndoa au mahusiano HAPANA. Ninachosema hapa ni kuwa hakuna utaalamu unaoweza utumia ili mpenzi wako aliyenuia kuchepuka eti atashindwa simply b'se eti wewe umeinsert mfumo fulani. Hili ni jambo binafsi la Kimaadili ambalo mtu binafsi anajivika tu nadhiri kuwa mimi sitafanya ngono nje ya mahusiano/Ndoa na anakuwa na sababu zake.

CHEKI HIZI MBINU MBADALA AMBAZO WATAALAM HUTUMIA KUTAFUNA WAKE ZA WATU.

1. IBADA YA KWANZA
Kiasili wanaume wengi ni wavivu kwenda kanisani in general. Sasa wataalam wa hizi kazi huwa wanafanyaje. Mwanamke anatengeneza mazingira ya kuipenda ibada ya kwanza ambayo kimsingi wewe utakuwa upo tu unaupiga usingizi wa asubuhi, watoto na dada wa kazi pia hawaipendi hii ibada hivyo wataenda church bibie akirejea. Atachomoka saa 12 kamili kwenda church.

Akitoka tu nyumbani itaitwa boda faster hadi kwa msela ambaye anajua huo mnofu ni wapi anaenda kuutafunia iwe guest au kwake mhuni atamkunja na kumkunjua kwa saa 2 ambazo ibada huchukua. Akitoka upande huo anaweza kurudi church faster ili ajichanganye na wanavyotoka kisha atarejea nyumbani hata na majirani. Hii mbinu ndugu yangu kuigundua labda uwe Master kwelikweli.

2. KAZINI
Eneo hili wake za watu wanapingwa tindo isivyo kawaida. Unajua kuna mazingira ya kazi mnaweza kubaki wawili tu ME na KE kwa saa hata 4 bila movement(Unaruhusiwa kubisha ukitaka) Unakuta watumishi wengine wote wapo site. Bosi yuko Safarini Dodoma.

Halafu ofisi ni ile ambayo haitembelewi na watu wa kawaida kama sokoni. Fikiria mf Idara ya Tume ya kudhibiti miyonzi, Ofisi za namna hii unadhani zinakuwaga na movement za watu. Mtu anavutwa Store huko kwenye mabox anapandishwa sketi juu. Hapo utajuaje Master

3. LUNCH TIME
Hapa ngoja nitumie mfano wa Kweli kabisa. Kuna jamaa mmoja mambo safi mkewe alikuwa Banker, Basi jamaa asubuhi anamdrop mkewe kazini kisha wakati wa kutoka anamfuata kila siku ila kuna mjanja mmoja alistadi huo mfumo akagundua udhaifu wake. Jamaa baada ya kukubaliwa na yule bidada Banker alichokifanya ile lunch time saa 7 sharp jamaa anapark gari yake karibu na ATM.

Bibie akitoka tu anaingia kwenye gari moja kwa moja hadi Hotelini ambako jamaa amekwisha andaa mazingira na chakula kipo chumbani. Anapigwa goli mbili za chap then anapiga menu na kurudishwa faster. Jioni mumewe atamfuata akijua wife kashinda Job
Mwamba mmoja Banker wa kiume alikuwa anamla Banker mwenzake bank humohumo Location Chooni(Kama hutaki kuamini acha, Chooni hakuna kamera)
Nimetumia Bank kukuonesha jinsi hayo mazingira yalivyo sensitive na bado watu wanachana pazia na kisu.

4.NIGHT SHIFT
Hapa wahanga wakubwa na walio oa manesi, Walinda usalama nk
Inawezekana nesi asigongwe na Daktari. Anacho kifanya si leo anaingia zamu usiku anamuuzia hiyo shift mwenzie ambaye yuko free ila home ataondoka kwenda kazini akifika mbele ya safari anabadilisha uelekeo. Mwingine hata hauzi shift anampanga tu mwenzie kuwa nakuja sio muda anapotea hata masaa mawili hapo wanategea kuanzia saa 6 usiku na kama hakuna wagonjwa wengi. Hiyo Doria ya kumfuatilia wife kazini kila siku utaweza Master. Usisahau ratiba ya shift inabadilika mara kwa mara. Kuna hawa Walinzi wa makampuni hawa aiseee yaani aamue tu kutokukusaliti.

5. USAKATONGE
Maisha yamekuwa magumu na hela imeota mbawa. Kuna hawa wake zetu ambao wanapambana na biashara mf kutembeza nguo za mitumba mitaani, kuuza matunda na mbogamboga na wale wanaopita kupita majumbani kufua. Hebu Chukulia Mtu(ME) anaishi mwenyewe nyumba nzima labda mkewe anaishi kwingine anatafuta yule mwanamke wa kuja kusafisha nyumba na kufua. Wanaliwa sana wale. Wanavyuo wanatafunaga hadi wale wafanya usafi wa kwenye Hostel za wanachuo. Wale wengine ni wake za watu sema tu ndio basi tena.

6. RUSHWA
Makazini humu huwa inatokea michongo ya hela na semina za kufa mtu. Hebu fikiria inatokea kazi ya kwenda field mkoa X haya hiyo kazi itachukua siku 45 na kwa siku posho ni Tsh 80k. Bosi hapo si tayari ashatanua goli, Wanawake wenye tamaa hapo hawezi kuacha michongo ya namna hii kisa eti wewe ni mumewe. Bosi anamwambi nitakupachika kwenye hii issue wewe utaangalia namna gani unibalancie. Hizi issue za walimu kwenda kusimamia mitihani kusahihisha na semina kibao sio zote zinaenda kavukavu kuna wengine wanatoa mzigo ili mkeka ukubali(Hulazimiki kuamini)

7. VIKOBA.
Hapo napo ukae kitaalamu. Mtu anakuaga anaenda kikoba akifika njiani anampa shoga yake hisa/pesa ya kikundi yeye anatokomea kizani

8. MISIBA
Misiba mingine inaweza tumika kukamilisha miamala mingine. Mtu anampenzi wake wa enzi na enzi huko toka kwenye wanapangana tu siku ukitokea ukaja Mbeya nicheki. Haya unatokea msiba wa kwenda Mbeya tayari imekula kwako.

9. MAGROUP YA WASSAP
Hapa ndio pa kiduanzi sana hapa mtu ana group la shule ya msingi, group la sekondari, High school, Chuo, kanisani nk. Kila kundi lina memba mf 100 mara magroup 10, Maana yake wife hapo anawasiliana na watu buku kila anapoishika simu yake. Piga goti master Mungu akufanyie wepesi.

10. Hakuna watu hatari kama X wa mwenza wako. Hawa ni watu wanao weza pindua meza muda wowote na 50% yao wanaishi kwenye magroup ya wassap. Kama hukumkuta bikra Mgosi kaza mwendo maisha sio rahisi kihivyo.

11. SPONSA.
Huyu anaweza kuwa Mtu ambaye hata wewe huwezi amini. Anaweza kuwa mchungaji wako. Jamaa amnaye huwa unamuazima hela ukikwama. Hata ukwame vip usije kumtuma wife akakope hela kwa jamaa mwenye uwezi kisa mnafahamiana. Kopa wewe kiume malizaneni kiume.
Dhaa nimechoka tutaendelea kesho........
NB: USIMCHUMGUZE MWANAMKE AMBAYE JEURI YA KUMUACHA HUNA. TULIA MASTER MLEE WATOTO
 
Mambo fikirishi sana haya...Ndio maana inashauriwa ni vyema mkasemazana ukweli kuhusu KUSALITIANA ikiwemo matumizi ya CONDOMS ili mtunze||mlinde afya zenu na maisha yenu kwa UJUMLA wake,lakini kama wote mna vifua vya maneno na akili timamu!!!!
 
Usiishi ukiwa na hofu ya kugongewa.
Ufundishe ubongo wako kufahamu kuwa ngono si kamasi kuwa ukipenga zitatoka kwenye pua yako tu. Tegemea lolote na ishi maisha ya kumtanguliza MUNGU na uwe mtu wa maamuzi unapogundua mwenzako si muaminifu. Furahia zawadi ya maisha bila kutegemea mwingine ndo aamue kuwa ufarahi au la. Usimpe mwanamke rimonti control ya maisha yako kuwa akiamue ucheke unacheka na akiamua unune unanuna.
 
Hapa nataka tuelimishane kidogo jinsi ilivyo vigumu kuzuia USALITI kwa nguvu za kibinadam. Hili ni suala ambalo hakuna kanuni inayokubali kuuzuia kwa ukamilifu wa 100% kwani binaadamu ni kiumbe ambaye hubadilika kulingana na mazingira. Sisemi kuwa kwamba ni lazima USALITI utokee kwenye ndoa au mahusiano HAPANA. Ninachosema hapa ni kuwa hakuna utaalamu unaoweza utumia ili mpenzi wako aliyenuia kuchepuka eti atashindwa simply b'se eti wewe umeinsert mfumo fulani. Hili ni jambo binafsi la Kimaadili ambalo mtu binafsi anajivika tu nadhiri kuwa mimi sitafanya ngono nje ya mahusiano/Ndoa na anakuwa na sababu zake.

CHEKI HIZI MBINU MBADALA AMBAZO WATAALAM HUTUMIA KUTAFUNA WAKE ZA WATU.
1. IBADA YA KWANZA
Kiasili wanaume wengi ni wavivu kwenda kanisani in general. Sasa wataalam wa hizi kazi huwa wanafanyaje. Mwanamke anatengeneza mazingira ya kuipenda ibada ya kwanza ambayo kimsingi wewe utakuwa upo tu unaupiga usingizi wa asubuhi, watoto na dada wa kazi pia hawaipendi hii ibada hivyo wataenda church bibie akirejea. Atachomoka saa 12 kamili kwenda church. Akitoka tu nyumbani itaitwa boda faster hadi kwa msela ambaye anajua huo mnofu ni wapi anaenda kuutafunia iwe guest au kwake mhuni atamkunja na kumkunjua kwa saa 2 ambazo ibada huchukua. Akitoka upande huo anaweza kurudi church faster ili ajichanganye na wanavyotoka kisha atarejea nyumbani hata na majirani. Hii mbinu ndugu yangu kuigundua labda uwe Master kwelikweli.
2. KAZINI
Eneo hili wake za watu wanapingwa tindo isivyo kawaida. Unajua kuna mazingira ya kazi mnaweza kubaki wawili tu ME na KE kwa saa hata 4 bila movement(Unaruhusiwa kubisha ukitaka) Unakuta watumishi wengine wote wapo site. Bosi yuko Safarini Dodoma. Halafu ofisi ni ile ambayo haitembelewi na watu wa kawaida kama sokoni. Fikiria mf Idara ya Tume ya kudhibiti miyonzi, Ofisi za namna hii unadhani zinakuwaga na movement za watu. Mtu anavutwa Store huko kwenye mabox anapandishwa sketi juu. Hapo utajuaje Master
3. LUNCH TIME
Hapa ngoja nitumie mfano wa Kweli kabisa. Kuna jamaa mmoja mambo safi mkewe alikuwa Banker, Basi jamaa asubuhi anamdrop mkewe kazini kisha wakati wa kutoka anamfuata kila siku ila kuna mjanja mmoja alistadi huo mfumo akagundua udhaifu wake. Jamaa baada ya kukubaliwa na yule bidada Banker alichokifanya ile lunch time saa 7 sharp jamaa anapark gari yake karibu na ATM. Bibie akitoka tu anaingia kwenye gari moja kwa moja hadi Hotelini ambako jamaa amekwisha andaa mazingira na chakula kipo chumbani. Anapigwa goli mbili za chap then anapiga menu na kurudishwa faster. Jioni mumewe atamfuata akijua wife kashinda Job
Mwamba mmoja Banker wa kiume alikuwa anamla Banker mwenzake bank humohumo Location Chooni(Kama hutaki kuamini acha, Chooni hakuna kamera)
Nimetumia Bank kukuonesha jinsi hayo mazingira yalivyo sensitive na bado watu wanachana pazia na kisu.
4.NIGHT SHIFT
Hapa wahanga wakubwa na walio oa manesi, Walinda usalama nk
Inawezekana nesi asigongwe na Daktari. Anacho kifanya si leo anaingia zamu usiku anamuuzia hiyo shift mwenzie ambaye yuko free ila home ataondoka kwenda kazini akifika mbele ya safari anabadilisha uelekeo. Mwingine hata hauzi shift anampanga tu mwenzie kuwa nakuja sio muda anapotea hata masaa mawili hapo wanategea kuanzia saa 6 usiku na kama hakuna wagonjwa wengi. Hiyo Doria ya kumfuatilia wife kazini kila siku utaweza Master. Usisahau ratiba ya shift inabadilika mara kwa mara. Kuna hawa Walinzi wa makampuni hawa aiseee yaani aamue tu kutokukusaliti.
5. USAKATONGE
Maisha yamekuwa magumu na hela imeota mbawa. Kuna hawa wake zetu ambao wanapambana na biashara mf kutembeza nguo za mitumba mitaani, kuuza matunda na mbogamboga na wale wanaopita kupita majumbani kufua. Hebu Chukulia Mtu(ME) anaishi mwenyewe nyumba nzima labda mkewe anaishi kwingine anatafuta yule mwanamke wa kuja kusafisha nyumba na kufua. Wanaliwa sana wale. Wanavyuo wanatafunaga hadi wale wafanya usafi wa kwenye Hostel za wanachuo. Wale wengine ni wake za watu sema tu ndio basi tena.
6. RUSHWA
Makazini humu huwa inatokea michongo ya hela na semina za kufa mtu. Hebu fikiria inatokea kazi ya kwenda field mkoa X haya hiyo kazi itachukua siku 45 na kwa siku posho ni Tsh 80k. Bosi hapo si tayari ashatanua goli, Wanawake wenye tamaa hapo hawezi kuacha michongo ya namna hii kisa eti wewe ni mumewe. Bosi anamwambi nitakupachika kwenye hii issue wewe utaangalia namna gani unibalancie. Hizi issue za walimu kwenda kusimamia mitihani kusahihisha na semina kibao sio zote zinaenda kavukavu kuna wengine wanatoa mzigo ili mkeka ukubali(Hulazimiki kuamini)
7. VIKOBA.
Hapo napo ukae kitaalamu. Mtu anakuaga anaenda kikoba akifika njiani anampa shoga yake hisa/pesa ya kikundi yeye anatokomea kizani
8. MISIBA
Misiba mingine inaweza tumika kukamilisha miamala mingine. Mtu anampenzi wake wa enzi na enzi huko toka kwenye wanapangana tu siku ukitokea ukaja Mbeya nicheki. Haya unatokea msiba wa kwenda Mbeya tayari imekula kwako.

9. MAGROUP YA WASSAP
Hapa ndio pa kiduanzi sana hapa mtu ana group la shule ya msingi, group la sekondari, High school, Chuo, kanisani nk. Kila kundi lina memba mf 100 mara magroup 10, Maana yake wife hapo anawasiliana na watu buku kila anapoishika simu yake. Piga goti master Mungu akufanyie wepesi.

10. Hakuna watu hatari kama X wa mwenza wako. Hawa ni watu wanao weza pindua meza muda wowote na 50% yao wanaishi kwenye magroup ya wassap. Kama hukumkuta bikra Mgosi kaza mwendo maisha sio rahisi kihivyo.
11. SPONSA.
Huyu anaweza kuwa Mtu ambaye hata wewe huwezi amini. Anaweza kuwa mchungaji wako. Jamaa amnaye huwa unamuazima hela ukikwama. Hata ukwame vip usije kumtuma wife akakope hela kwa jamaa mwenye uwezi kisa mnafahamiana. Kopa wewe kiume malizaneni kiume.
Dhaa nimechoka tutaendelea kesho........
NB: USIMCHUMGUZE MWANAMKE AMBAYE JEURI YA KUMUACHA HUNA. TULIA MASTER MLEE WATOTO
Lengo hasa la kuandika uzi huu ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom