Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi. Jumapili iliyopita nilifanikiwa...
18 Reactions
166 Replies
15K Views
Nahitaji msaada wenu ndugu zangu, Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa...
13 Reactions
88 Replies
8K Views
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe...
14 Reactions
154 Replies
22K Views
Habar wanajf..., Nahitaji mke wa kuoa ambaye yupo dar.. Sifa zangu ; -Umri 28 -Elimu: degree -Kazi:Self employed Sifa za mke -awe na umri 22-28 -Awe na kazi rasmi -Awe amemaliza kula ujana Karbu...
0 Reactions
6 Replies
972 Views
Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada, Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina miaka 34 sasa nikiwa mama wa watoto 3, hakika sina budi kukubali kuwa mapenzi hayanitaki tena hayanipendi kabisaa, japo niliyapenda na kuyapa thamani katika maisha ila nimeangua sina budi...
27 Reactions
129 Replies
9K Views
Huyu mwanamke ni rafiki yangu ndiye aliyenikutanisha nae. Tukaanza kuwasiliana vizuri tu ( yeye anaishi Mkoa), nikaona isiwe case ngoja nikamuone physically, Bwana Bwana, siku nakutana nae kusema...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume...
1 Reactions
9 Replies
719 Views
Nmerudiana na x wangu aliekua na umbo namba 8 ili nipashe kiporo, cha ajabu analazimisha niachane na msichana nilie nae ambae ninae huu ni kama mwezi wa 5 na huyu c wangu nilikaa nae kama miaka...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanawake bhana walioolewa kidogo wakiongea hivi ina make sense, lakini hivi viruka njia vinashangaza vinaposema " bila mimi usingefika hapa ulipo " hizo kauli wakati mnaachana au unamwacha...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari zenu Wana jukwa. Nimeleta habari yangu kwenu kwa Lengo lakupata Ushauri na mapendekezo. Mimi ni kijana Mwanaume Mwenye mke na mtoto, ni miongoni mwa Familia maskini Sana Mwenye elimu ndogo...
18 Reactions
57 Replies
5K Views
Wanawake wa Dar ni wajanja wajanja, waongo, wanapenda kuiga maisha ya kisasa sana na kuishi maisha fake so hiyo inawalazimisha kuhangaika na pesa kuliko hata ibaada, kwa kuwa vipato vyao halali...
36 Reactions
182 Replies
15K Views
USIMPIGIE MTU SIMU ZAIDI YA MARA 2 MFULULIZO - labda kama ni jambo lenye haraka sana, subiri mpaka wakupigie. UKIKOPA, LIPA! -Rudisha kabla hata hujaoulizwa au kukumbushwa UKITOLEWA DINNER AU...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wakuu Daaah kuna binti mmoja nampenda sana ila sasa nashindwa kumtokea maana nimetoka kufahamiana naye kama week mbili hivi zimepita na natamani aje kuwa mama wa watoto wangu changamoto...
5 Reactions
76 Replies
14K Views
Habari wana Jamvi, leo narudi kwenu tena ikiwa ni baada ya miezi 10 kupita toka niachane na binti alieugaragaza moyo wangu hadi kufikia kuishi nae pamoja. Sababu iliyofanya tuachane ilikuwa ni...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
2018 Siku moja nilikua bored home, nikajiunga BADOO nikakutana nae. Tukawa friends then Fuc* mates. Maisha yakasonga, nilichompenda yeye alikua hapendi hela na ni mrembo kweliii. Kwenye hela na...
8 Reactions
133 Replies
15K Views
Leo tuangalie upande wa pili kidogo. Tujadili kwa kujenga ili tuone wapi tumekosea ili tujirekebishe, lengo likiwa ni kufunguana mawazo. Mada hii inaweza kuwa msaada mkubwa kwa vijana ambao...
30 Reactions
111 Replies
13K Views
Leo nimeblokiwa na mwanaume nilie mpenda kwa miaka 4, kutokana na kumtumia txt za makasiriko like; “ hueleweki siku hizi”, “umekuwa kero siku hizi”. Sababu za kumtumia txt za makasiriko ni hizi...
45 Reactions
208 Replies
15K Views
Mimi ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, ni mjasiriamali mdogo, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar dini ni mkristo. Muonekano wangu ni mrefu kiasi, mwembamba kiasi na mweupe kiasi...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Tuliachana mwezi January mwaka 2018, kila mtu aka-move on na yakwake, binafsi niliumia sababu nilimpenda kweli na yeye alinipenda ila kama unavyojua sababu tu za kiufundi za hapa na pale...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…