Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,392
- 1,419
Nmerudiana na x wangu aliekua na umbo namba 8 ili nipashe kiporo, cha ajabu analazimisha niachane na msichana nilie nae ambae ninae huu ni kama mwezi wa 5 na huyu c wangu nilikaa nae kama miaka miwili.
Yeye ana mtu ila yuko tiyari kumuacha, nimemwambia ntamwambia msichana nilie nae kua nmerudiana na x wangu ili nidate na wote wawili huyu hataki...
Na mbaya zaidi nina wasichana jumla 6, hamna wawili tu ndio wanafahamiana, na jana nimelala na wawili yaani x wangu, na huyu wa nyumbani japo sikai nae alkuja tu, na leo nmelala na mwingine nakua nawazungukia,,
Ila nilipofika sasa kusema nimuache mdada ambae ata hajanikosea hio haiwezekani, ila nmemdanganya ya kua atulie soon ntamuacha japo sio kweli....