Nisaidieni jinsi ya kuachana na kumsahau huyu mwanamke

aubasi

JF-Expert Member
Mar 14, 2022
269
344
Huyu mwanamke ni rafiki yangu ndiye aliyenikutanisha nae. Tukaanza kuwasiliana vizuri tu ( yeye anaishi Mkoa), nikaona isiwe case ngoja nikamuone physically,

Bwana Bwana, siku nakutana nae kusema cha ukweli, ni mwanamke mzuri , wife material ( ana nyama nyingi ) ...but kwa upande wangu kiukweli kabisa hata Nyani Ngabu ni shahidi mi sio mtu wa toto's kabisa...najua namna ya kuzicontrol hisia zangu.

Nikapanga nisimfanye chochote huyo mwanamke, iwe ni maongezi tu. Tulipomaliza kula dinner pale nje ya hotel, nikamwambia tumeongea sana na muda ushaenda sana. Naona nirudi chumbani nikapumzike.

Akasema twende wote. Kufika huko, nikashangaa mwenzangu anaanza kulegea. Touching zikaanza. Mwishowe akanilazimisha nimpe dudu. Asee kiufupi nilibakwa na huyu mwanamke.

Huyu mwanamke alinihakikishia hana mtu mwingine zaidi yangu. Huwezi amini nimemfuma leo na Mwanaume mwingine. Akaanza kumkataa mbele yangu, jamaa akawa anamlalamikia , kweli unaniacha Neema? Alivyokuwa anaongea kama Mwanaume mwanzangu uliniuma sana.

Nimeona niachane nae!!!! Kama kuna mwenye nyama zaidi , anipe...nivimbe zaidi , niwe na maconfidence...nisimfikirie Tena.

Wanawake Mungu anawaona!!!!
 
Huyu mwanamke ni rafiki yangu ndiye aliyenikutanisha nae. Tukaanza kuwasiliana vizuri tu ( yeye anaishi Mkoa), nikaona isiwe case ngoja nikamuone physically,

Bwana Bwana, siku nakutana nae ..kusema cha ukweli, ni mwanamke mzuri , wife material ( ana nyama nyingi ) ...but kwa upande wangu kiukweli kabisa hata Nyani Ngabu ni shahidi...,mi sio mtu wa toto's kabisa...najua namna ya kuzicontrol hisia zangu.

Nikapanga nisimfanye chochote huyo mwanamke....,iwe ni maongezi tu. Tulipo maliza kula dinner pale nje ya hotel, nikamwambia ...tumeongea sana na muda ushaenda sana. Naona nirudi chumbani nikapumzike.

Akasema twende wote. Kufika huko, nikashangaa mwenzangu anaanza kulegea. Touching zikaanza. Mwishowe akanilazimisha nimpe dudu. Asee...kiufupi nilibakwa na huyu mwanamke.

Huyu mwanamke alinihakikishia hana mtu mwingine zaidi yangu. Huwezi amini nimemfuma leo na Mwanaume mwingine .... Akaanza kumkataa mbele yangu...,jamaa akawa anamlalamikia , kweli unaniacha Neema? Alivyokua anaongea kama Mwanaume mwanzangu uliniuma sana.

Nimeona niachane nae!!!! Kama kuna mwenye nyama zaidi , anipe...nivimbe zaidi , niwe na maconfidence...nsimfikirie Tena.

Wanawake Mungu anawaona!!!!
Naona unalichezea hili neno 'NAKUFA'
 
Samahani lakini ... heading na kilicho andikwa haviendani? Pia kabla yakukusaidia ningependa kufahamu wew ni jinsia gani
 
Picha picha pichaaaa! Unatutishia kufa bila kuacha ushahidi wa picha? Wahed!
Tuma picha yake tuone kama kweli ana uwezo wa kubaka au unamsingizia hapo kwenye minyama, maana unaeza kuta n mfanyakazazi wa buchani tu kakunyima utumbo
 
Kijana wa kiume kuna maneno hutakiwi kuyazoea. Huausan hilo la kwanza kwenye heading ya uzi wako. Hilo muachie kokastiki!
 
Back
Top Bottom