Nahitaji mke!

Sep 6, 2016
5
2
Habar wanajf...,
Nahitaji mke wa kuoa ambaye yupo dar..
Sifa zangu ;
-Umri 28
-Elimu: degree
-Kazi:Self employed

Sifa za mke
-awe na umri 22-28
-Awe na kazi rasmi
-Awe amemaliza kula ujana

Karbu PM kwa mwenye sifa tajwa
 
Kuna pisi humu Inatafuta mke wahi kabla wale wa Kimasihara hawajampitia bro.
 
Huko unakokaa hakuna wasichana?

Shauri yako. JF Kuna wanawake wenye watoto lakini watakuambia ni ma bikra.

Nakushauri nenda kanisani kwako then jiunge na kwaya ya vijana. Pale utapata muda wa kuwachambua wna kwaya wenzio na kutafuta pisi lililo na nyama
 
Habar wanajf...,
Nahitaji mke wa kuoa ambaye yupo dar..
Sifa zangu ;
-Umri 28
-Elimu: degree
-Kazi:Self employed

Sifa za mke
-awe na umri 22-28
-Awe na kazi rasmi
-Awe amemaliza kula ujana

Karbu PM kwa mwenye sifa tajwa
Kila la heri Boss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom