Kuna jamaa yangu m1 bwana yupo bongo mwaka wa pili huu ila kwa maisha aliyokuwa anaishi anayoish had sasa kiukwel nilijua tu ipo siku kitu kama hiki kingetokea hapa kachanganyikiwa week ya pili...
Habari za leo wanajamvi!
Nimeona nilete hili jambo kwenu labda nitapata msaada wa mawazo na ushauri wenu ili nielewenini nifanye.
Mimi ni binti wa mid 20's km unavyojua kila mtu hua na malengo...
Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa...
Wanandoa na watarajia kuingia kwenye ndoa wameshindwa kutii miongozo ya imani zao ambazo zinatokana na Mungu, badala yake wanamsikiliza binadamu ambaye uwezo wake wa maono unaukomo.
Wauaji na...
Bwana Bonge ni mmoja wa matajari wa nchi ya Kusadikika, alimuoa classmate wake ambae alijaliwa kupata nae watoto wanne. Wakike mmoja na wanaume watatu. Watoto wote walishakua na miji yao na...
Nina mpenzi wangu ambae muda wote mahaba mtumiane msg!! Sasa jana nimeamka nimekaa hadi jioin sijamchek nilikua busy kanuna!!
Naona kama tutashindwana mimi ni Thug cpend muda wote mambo ya ivo ...
Heshima kwenu wakuu.
Sitaki kuleta mbwe mbwe sana, moja kwa moja niende kwenye mada; lakini kabla sijaenda kwenye mada moja kwa moja naomba kwanza niweke sawa kuwa ninachoenda kusimulia hapa ni...
Tumechoka kusikia kila siku mume kauwa mke, ukifuatilia source za haya mauwaji ni wivu wa kimapenzi fumanizi na kazilika.
Watiini waume zenu si uliapa mwenyewe kuwa utamtii sasa ukaidi wa nini...
KUOLEWA ni heshima kwa mwanamke
Heshima hiyo inaenda mbali zaidi hadi kuwagusa wazazi wa binti ambaye ataolewa.
Wazazi wanatembea kifua mbele pindi binti yao anapoolewa, tena wanafurahia...
Kila uamuzi una gharama zake. Gharama za kutotuma nauli ni kubwa maradufu ya gharama za kutuma nauli
Wakati wewe ukisema hutumi nauli, akina DeepPond wanatuma nauli ya laki umbali wa nauli ya...
"Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako", Mal...
Ni kweli kwamba, siku hizi vijana wengi huamini kuwa baada ya kukutana kimwili, ndipo wanapoweza kudai kwamba, wamewafahamu wapenzi wao vizuri na kwamba kukutana kimwili ndiyo mapenzi au kupendana...
Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku.
Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia...
Watu wa utamaduni hawachapi mwanamke kwa fimbo. Wanamchapa kwa Ukuni. mwanamke hapigwi makofi... hapigwi ngumi na mateke (hapa ndo unakosea kabisa ) afadhali kibao kimoja tu cha kumshtua akili...
Habari wanaJF,
Katika harakati zozote za binadamu changamoto hazikosekani katika maisha, nimesema hivyo kwasababu kuna mdada mmoja jirani hapa nimefamiana naye kidogo sana. Siku moja akanifuata...
Waungwana natafuta mchumba umri kuanzia miaka 25-29, Elimu kuanzia darasa la saba hata form 4, awe mjasiriamali ama mfanyabiashara ndogondogo ni sawa, kuhusu kabila ni lazima awe mnyiramba, mimi...
Tulikwazana kidogo na my girlfriend nikaamua nikae kimya! Nashangaa naye yupo kimyaa siku ya 3 ina isha leo hivi kuna upendo hapo [emoji849][emoji849][emoji849]
Nilitegemea atanitafuta ataomba...
Wakuu habari za asubuhi, kama kichwa kinavyojielezea kuna mwanamke niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa lakini baada ya muda tuliojiwekea kwamba tuharalishe mahusiano yetu...
Huku kukaa na mke huku kunatoa utamu sana aiseee, kuna hii pisi pilu kabisa nimeipata hapa kiwandani kwangu,
Kashapangika kabisa aisee ila shida ipo kwenye location ya kwenda kuchakatiana. Sina...
Habari wana JF,
Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi.
Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na binti wa kazi...