Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Nina mpenzi wangu ambae muda wote mahaba mtumiane msg!! Sasa jana nimeamka nimekaa hadi jioin sijamchek nilikua busy kanuna!!
Naona kama tutashindwana mimi ni Thug cpend muda wote mambo ya ivo !! Tutafutane jioni tu!!
Nikipata demu wa hivi nitafurahi!
Naona kama tutashindwana mimi ni Thug cpend muda wote mambo ya ivo !! Tutafutane jioni tu!!
Nikipata demu wa hivi nitafurahi!