Natafuta mchumba

Mnyiramba

JF-Expert Member
Jun 19, 2022
1,112
2,957
Waungwana natafuta mchumba umri kuanzia miaka 25-29, Elimu kuanzia darasa la saba hata form 4, awe mjasiriamali ama mfanyabiashara ndogondogo ni sawa, kuhusu kabila ni lazima awe mnyiramba, mimi Kazi yangu ni mfanyabiashara wa kati, natanguliza Shukrani!

N:B, mawasiliano yote ni PM,Mimi ni dume
 
Nasikitika umri, kazi na kabila vimenikosesha mchumba jaman…hivi hakuna mtu atakaelenga vigezo moja kwa moja 😎
 
Waungwana natafuta mchumba umri kuanzia miaka 25-29,Elimu kuanzia darasa la saba hata form 4,awe mjasiriamali ama mfanyabiashara ndogondogo ni sawa,kuhusu kabila ni lazima awe mnyiramba ,mimi Kazi yangu ni mfanyabiashara wa kati,natanguliza Shukrani!
N:B ,mawasiliano yote ni PM
Wewe ni me au Ke??
 
Waungwana natafuta mchumba umri kuanzia miaka 25-29,Elimu kuanzia darasa la saba hata form 4,awe mjasiriamali ama mfanyabiashara ndogondogo ni sawa,kuhusu kabila ni lazima awe mnyiramba ,mimi Kazi yangu ni mfanyabiashara wa kati,natanguliza Shukrani!

N:B, mawasiliano yote ni PM
Hauna jinsia mkuu
 
Waungwana natafuta mchumba umri kuanzia miaka 25-29, Elimu kuanzia darasa la saba hata form 4, awe mjasiriamali ama mfanyabiashara ndogondogo ni sawa, kuhusu kabila ni lazima awe mnyiramba, mimi Kazi yangu ni mfanyabiashara wa kati, natanguliza Shukrani!

N:B, mawasiliano yote ni PM,Mimi ni dume
Sogea maeneo Singida, wapo wengi.

utapata wa kufanana na sifa hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom