Hapa napendwa kweli?

Yohana Daniel

Member
Mar 18, 2018
52
24
Habari za uzima wana familia ya JF wenzangu,

Naomba ushauri juu ya hili sidhani kama napendwa kweli hapa bali nachunwa tu. Nimepita katika mahusiano mawili ya wanawake wa aina moja kwa kufuatana yaani mwanamke wa kwanza kipindi nipo naye katika mahusiano alikua hataki kabisa nimushike wala kumsogelea, kufanya mapenzi ndio usiseme hataki kusikia ila alikua anadai ananipenda maana kila alichotaka nilimpa.

Nikapiga chini nikapata mwingine tena baada ya kuachana na yule wa kwanza but mambo ni yale yale hakuna utofauti mtashinda naye but ukitaka kufanya chochote hataki na kingine naona kama ana mtu mwingine pembeni nipo mbioni kumuacha

Naomba ushauri kwenu maana nahisi labda kuna vitu nakosea nakua rush may be
 
Zero Conscious

JF-Expert Member
Apr 23, 2022
256
495

Mkuu nachokushauri, jifunze kujipenda mwenyewe na kujiamini pia sababu unaweza kujihisi una kasoro kutokana na mienendo ya unaokuwa nao na kupoteza confidence. Usiumizwe kichwa na Hilo. Kama unamhudumia na hakupi mzigo fanya kukata mawasiliano polepole, uwe kama haujali. Kama ni WA kukupenda kweli atakuuliza lakini kama ndiyo walewale atakaa kimya pia. ENJOY YOUR LIFE MKUU
 
ikhlas

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
958
1,054
Labda hufiki kina mapenzini, ndo mana una achwa matatani ,Amekuacha we uchwa kubali, utazeeka vibaya,Easy nenda mishe mishe aah asikubabaishe usijiumize usijifofis kwenye moyo wake huna nafasi..Easy
.
 
Yohana Daniel

Member
Mar 18, 2018
52
24
Hauvutii sexually....kuna watu huwa hawana ule mvuto wa kufanya nao mapenzi.... yani unatamani uwe nae tu abaki kuwa mpenzi mtazamaji. Kuna maeneo unakwama.

may be staili yako ya kuomba inaboa
Sasa natakiwa niombaje? Shule inahitajika
 
Yohana Daniel

Member
Mar 18, 2018
52
24
Mkuu nachokushauri, jifunze kujipenda mwenyewe na kujiamini pia sababu unaweza kujihisi una kasoro kutokana na mienendo ya unaokuwa nao na kupoteza confidence. Usiumizwe kichwa na Hilo. Kama unamhudumia na hakupi mzigo fanya kukata mawasiliano polepole, uwe kama haujali. Kama ni WA kukupenda kweli atakuuliza lakini kama ndiyo walewale atakaa kimya pia. ENJOY YOUR LIFE MKUU
Big up mkuu
 
TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
4,169
11,894
Habari za uzima wana familia ya JF wenzangu,

Naomba ushauri juu ya hili sidhani kama napendwa kweli hapa bali nachunwa tu. Nimepita katika mahusiano mawili ya wanawake wa aina moja kwa kufuatana yaani mwanamke wa kwanza kipindi nipo naye katika mahusiano alikua hataki kabisa nimushike wala kumsogelea, kufanya mapenzi ndio usiseme hataki kusikia ila alikua anadai ananipenda maana kila alichotaka nilimpa.

Nikapiga chini nikapata mwingine tena baada ya kuachana na yule wa kwanza but mambo ni yale yale hakuna utofauti mtashinda naye but ukitaka kufanya chochote hataki na kingine naona kama ana mtu mwingine pembeni nipo mbioni kumuacha

Naomba ushauri kwenu maana nahisi labda kuna vitu nakosea nakua rush may be
Kosa la kwanza: Kumpa mwanamke kila anachotaka wakati HUJAMLA

Kosa la pili: Kuendelea kuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambae hataki umsogelee wala umguse

Kosa la tatu: Kujali kama mwanamke unaetaka kumla ana mtu au la!

Ngoja nikutoe tongotongo kidogo.

Kumla mwanamke (ukiacha wanaojiuza) ni SAYANSI ambayo ina formula zake ambazo inaelekea wewe bado hujazi master. Unapoanzisha mahusiano na mwanamke, kwanza tambua kabisa mwanamke huyo anajua unachotaka kwake ni mbousousou. Ni jukumu lako sasa kutengeneza mazingira yatakayo mu attract huyo mwanamke kiasi nayeye atamani kukupa mbousousou yake bila shida yoyote, ikiwezekana akuletee kabisa nyumbani. Kwahiyo kuanzia mwanzo kabisa wa mahusiano yenu, unatakiwa umjengee mazingira ya kumvutia kuliwa.

Turudi kwenye makosa yako sasa.

1. Kati ya vitu vitakavyomfanya mwanamke asite kukupa mbousousou ni wewe kuanza kumhudumia kwa kila anachotaka! Hii inakufanya uonekane kama hujiamini na unataka kumnunua. Pia mwanamke anaanza kuwa na wasiwasi kwamba akikupa utakata mirija maana umeshapata ulichotaka.

2. Ukiona mwanamke hataki umsogelee wala umguse hapo kuna mawili; ama hakutaki kabisa(anakuchuna), au approach yako ina walakin. Mara zote mwanamke anapenda uende nae step by step, sio ukurupuke tu out of nowhere unataka mbousousou! Inatakiwa leo mkikutana mshike mkono, kesho mshike paja, keshokutwa mkiss mwisho unakula mzigo kiulaini. Ukiona hataki umshike hata mkono, achana nae huyo anakupotezea muda bure.
Ila pia ukishaanza kumshika/kumkiss akatulia, hakikisha unamla haraka sana kabla akili hazijamkaa sawa!

3. Kama ana mtu au la hilo ni tatizo lake, wewe halikuhusu. Mwanamke yoyte mzuri lazima ana mtu. Wewe unapoingia focus yako iwe kwenye kumla kwanza, ukishamla yeye ataamua kama ana mtu au wewe ndio mtu. Ukianza mawazo ya kama ana mtu hutakuja kula mwanamke yoyote.

Itaendelea...
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom