Aisee Siamini kama Swahiba Wangu ndo Ameamua Kuoa Mchumba kutoka Badoo.

kijana255

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
277
257
Ebanaa ee wanajukwaa naandika hii stori ya ukweli uku nikiwa sina majibu na siamini kama swahiba wangu wiki ijayo anaoa.

Jamaa alikuwa sana muumini wa mitandao yetu hii ya badoo, tinder na mingine, sasa katika pita pita zake akakutana na mwanamke badoo ni wa kawaida tu kimuomekano wakawa wameanza mahusiano kama mwaka sasa umepita.

Sasa juzi jamaa kaja na mualiko wangu anataka kumuoa yani amuweke ndani kabisa nikamwambia unakumbuka lakin wanawake waliopo kule wengi ni malaya sana, jamaa akanipa stori kwa kifupi sana,

Kwamba baada ya kukutana na mchumba na kuanza kuwasiliana mchumba akakili kwamba aliingia badoo ili tu ajue ni kitu gani huwa kinafanyika kule lakini pia aliingia kwa sababu ya kutangaza bidhaa zake ambazo alikuwa anauza lakini wakakubaliana kwamba wafute app wakaendelea na mahusiano,

Nimepokea mwaliko kwa heshima zote na kesho naenda chukua suti matata sana kwa ajili ya kwenda kula harusi ila moyo bado una wasiwasi kama kweli jamaa anaenda kuoa moja wa wtt tunao wachakata kila kukicha.

N.b Ya ngoshwe tumuachie ye mwenyewe, Na wengine mnipe experience yenu aisee.
 
Acha waoane
 
Nna rfk zangu wameona walikutana badoo...kbl ya ndoa wakadate almost 7yrs ...
Ni enzi hizo badoo ndo imeingia bongo na kua maarufu 2012....
 
hao mnaowachakata wakiolewa mnananga wachakataji zenu.

ila nyie wachakataji mkioa mnataka mshangiliwe na matarumbeta?

sasa mchakatwaji asipoolewa na mchakataji unadhani hawa wataoa na kuolewa wapi?????

ndege wafananao......

maisha popote.........

haiwezekani uchakate badoo halafu uende kuoa mwimba kwaya kanisani........
 
Wewe umealikwa harusi, nenda kale mpunga...

Habari za nani anayeolewa zinakuhusu nini? Yaani unashangaa mwanamke wa Badoo kuolewa lakini hushangai mwanaume wa Badoo kuoa na mwingine kupata mwaliko??
hahahaha da hatari sana
 
Nna rfk zangu wameona walikutana badoo...kbl ya ndoa wakadate almost 7yrs ...
Ni enzi hizo badoo ndo imeingia bongo na kua maarufu 2012....
Kipindi cha nyuma dating sites hazikuwa za watu kujiuza sana hasa kwa bongo labda nchi nyingine huko, wengi walikuwa wanajiuza physically!

Lakini kwasasa yes asilimia kubwa wanajiuza
 
Back
Top Bottom