Dharau ziliniponza kwenye mapenzi

Dharau ziliniponza kwenye mapenzi

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Kuna mda sisi wanadamu tukipata ua tunasau kama kuna kukosa pia. Na tukishiba tuna sau njaa. Tukifurahi saana tuna sau uzuni. Na tukicheka tunasau kulia. Ili kuwa mwaka 2019 kuna mwanamke ambaye nilikuwa na chat naye. Huyo mwanamke tulikuwa hatutongozani apana ila tulikuwa marafiki tu wa ku chat kawaida na kupiga story za hapa na pale.

Sasa siku moja nilikuwa na ongeya naye mama yake akauliza huyo mwanamke hivi huyu unaye ongeaga naye kila siku ni nani. Demu si akasema ni mchumba wangu. Mimi nikashangaa. Nikaona mbona nuksi hii toka lini mimi nikawa mchumba wake. Mama yake si akasema nipe simu niongee naye mimi Nikaona siwezi kumzaraulisha Nikakubali kuwa mimi ni mchumba wake Kwa mama yake

Na toka siku hiyo ndo ulikuwa mwanzo wa mapenzi yangu mimi na yeye Mwanamke alijikuta ana nipenda saana Yaani alikuwa halali bila kuongea na mimiSasa tulikuwa tuna ongeya kwenye simu tu lakini tulikuwa hatujawahi kukutana maana yeye alikuwa ana ishi street kidogo ambayo ilikuwa mbali na street yetu
Siku moja si tukakutana hakika mtoto alikuwa pisi kali saana Mwanamke huyo

Sasa nilivyo kuwa naye maisha ya kuchukuwa poits tatu ndo yalikuwa ndo nilikuwa nayo saana Mpaka mwanamke siku moja si akasema ana taka ni muoe sasa Ndugu yangu toka siku hiyo ndo mashetani yangu yalipanda baada ya kusikia neno ndoa nikawa sipokehi tena simu zake na nikipokeya ni dharau kwenda mbele
Mtoto wakike akawa ana fikia hatua ya kutowa machozi kisa mimi kuniomba msamaha hata kama hajakosea
Mimi nikawa naona ndo sifa kabisa nikawa na jiona kidume cha mbegu

Siku ambayo aliniacha kuna maneno ambayo alitamka na maneno hayo mpaka sasa hivi ndo nahisi yananitesa saana Na ni vigumu saana kumrudisha mwanamke wa namna hiyo bado yupo hajaolewa ila na sikia ana taka kuolewa
 
Kuna mda sisi wanadamu tukipata ua tunasau kama kuna kukosa pia
Na tukishiba tuna sau njaa
Pole mkuu, ungekataa kuoa bila dharau...angekuganda mpaka kesho. Pambana tu na hali yako mkuu....nshai pitia iyo kitu nilikuja kukubaliana na hali miaka kumi na kitu ishapita.

Kunywa maji kwa wingi....fanya mazoezi...tembea tembea kidogo na bila kusahau....tafuta mbususu uikembe kuruka.
 
Usimuliaji tu 5% ndo vijana wa sasa wanaotaka kuoa hawa huku wakihitaji ushauri wa very petty issues like this!
Very petty? Haya tuambie wewe kitu Gani hapa duniani ni muhimu kuliko mapenzi
 
We hauko peke ako..hata Mungu kakuepusha na mengii...tena ukute ndo hawa wanachuo ambao wanaongoza kwa kuigiza...hakika ungejafurah kwa hizo dharau ulizomletea kama ungejamjua kiundan
 
Unaonyesha uwezo wako wa kitengo cha ubongo wako kufikiria ya kesho yako upo chini halafu hujui vitu vizuri,hakuna kitu kizuri kwenye mapenzi kama mwanamke akupende. Hawa viumbe wakikupenda mapenzi utayafurahia sana na ni bahati sana,umepoteza lulu maishani mwako na hiyo karma itakutafuna maisha yako yote.

Yani unge enjoy mapenzi siku zote na mngetengeneza familia yenye upendo,halafu inaonyesha una majivuno sana sasa subiri walimwengu na wao wakuvune na ndo ukome.[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Back
Top Bottom