Ushauri huu kuhusu Ndoa umeniamsha kutoka kwenye usingizi mzito

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,766
Habari zenu wanajamvi pendwa la MMU.
Ilikuwa tarehe 07/10/2019 Majira ya Jioni huko Dodoma nilipofunga ndoa kwa mara ya kwanza. Wakati wa sherehe usiku nilibahatika kuzungumza na mzee wangu (sio Baba mzazi) kabla ya kwenda ukumbini. Kwenye mazungumzo yetu bitu vikibwa mzee wangu alivikazia vilikuwa vingi sana ila nilivyoviona kuwa vinahusiana na masuala ya ndoa vilikuwa vifuatavyo;

1. USIACHE TAFUTA HELA KIJANA WANGU
Kwenye hili mzee huyu aligusia kuwa, heshima ya mwanaume hupatikana kutoka kwenye kile analeta au anatoa. Ni tofauti na mwanamke, sisi wanaume tunapaswa kuwa chochote ili upendwe.

Akaniambia mfano huu, ukiwa huna pesa wanao watakuona wa kawaida sana wakati fulani hata upendo wao kwako utakuwa ule wa nje ila sio ile kutoka Moyoni lakini kama ungekua na pesa watoto hawa wangekupenda kwa sababu ungewahudumia na kupitia kuwahudumia kama wanao kwenye mahitaji hayo upendo ndio unafuata.

Vivyo hivyo, Wanawake pia watakupenda kwa sababu una chochote cha kuwapa na sio eti watakupenda kama ulivyo hapana. Hivyo akaniambia kijana wanagu tafuta hela kwa nguvu zako zote.

2. USIACHE KUISHI UHALISIA WAKO(USI FAKE LIFE)
Katika hili huyu mzee alinambia utakapo anza kuishi na mwenzio hakikisha unaishi uhalisia wako, kama wewe ni Mpenzi wa mpira na huwa unaenda kwenye vibanda umiza kuangalia mpira basi usiache ila kikubwa tu ukimaliza kuangalia elekea nyumbani kwa mwenzako.

Kama unarafiki zako na huwa unapiga story na washikaji wako usiache ila hakikisha story za kijiweni usizilete nyumbani. Kufanya hivyo itasaidia mwenzako kukufahamu wewe kwa uhalisia wako ambapo huko mbeleni mkishakuwa miaka kadhaa kwenye ndoa upendo unapokuwa umepungua usipate shida sana unapokuwa inataka kwenye kupata ahueni ya kwenye nafsi yako kwa kuangalia na kupiga story na washikaji zako. Kwa maana mwenzako akikuzoea hivyo, ukiwa unaenda kutafuta ahueni kichwani (vent) isionekane umebadilika sana.

3. USISHIKE SIMU YAKE

Akasema, unataka ndoa yenu idumu na muishi kwa furaha achana na simu yake na yeye akiona huhangaiki na simu yake ataachana na simu yako. Akasema kipindi hiki penzi lenu likiwa Jipya mtaanza kuwa mnashikiana simu mara kwa mara na hata kupeana password za simu.

Ila kaa ukijua ukifika ule muda ambao mtaanza kuchokana au kuzoeana na kila mmoja kutafuta mahali pa kupata ushauri kutoka marafiki au ndugu hapo ndipo ugomvi kwa sababu ya simu zenu utaibuka sana na hata wakati fulani msipoangalia Ndoa itavunjika.

4.USIHANGAIKE NA HELA YAKE AU MSHAHARA WAKE
Akasema hata kama anapokea mshahara mkubwa kuliko wako wewe hudumia familia kama ilivyo kawaida na yeye akiguswa atatoa ila usihangaike kuwaza namna ya kuitumia hela yake. Cha msingi angalia namna ya kumshirikisha kwenye mipango ya maisha na umpe goal ili naye awe anafanya. Na asipofanya mlivyokubaliana usijiumize kichwa. We hudumia familia mengine achana nayo.

5. WAPENDE NDUGU ZAKE
Kwenye kuwapenda ndugu zake, usije kuwa mjinga sana mpaka uanze kujenga kwao. Kama hela zikiwa nyingi jenga nyumba ambazo zitakuwa chini yenu wawili tofauti hapo ni unajichanganya. Usisahau kuna kuja kugombana mkashindana huko mbeleni.

6. KINACHOFANYA NDOA IDUMU SIO MAPENZI
Akasema, kijana wangu mimi niko kwenye ndoa huu mwaka wa 20 sasa. Katika miaka hii yote, sio zote upendo ndio ulikuwa unatuunganisha ila kitu kimoja tu ambacho wengi huwa wanakiona sio cha msingi na kuhangaika na mapenzi wamesahau hata walioachana hapo mwanzo walikuwa wanapendana.

Nikamuuliza ni kitu gani sasa mzee wangu hicho wengi wanakiona sio cha msingi. Akanambia ...Kumjua Mpenzi wako vizuri kwanza inaweza kukusaidia sana kwenye ndoa kuliko hata huo mnaoita Upendo. Ukijua mwenzako anapenda nini na yeye akajua vizuri unapenda nini na akajua nanmna ya kukufanya uwe na amani na furaha akasema upendo ndio unaweza kufuata. Akanishauri kama sijamjua vizuri nijitahidi kumjua japo kwa asilimia Chache. Kwenye hili alimalizia kwa msemo wa kiingereza… “Knowledge should start first before Love”

7. KUWA NA AKIBA AMBAYO YEYE HAJUI

Iko hivi, siku mkija kuachana mambo yaneshindakana kabisa pamoja na kuwepo kwa vikao vingi wa upatanishi wewe utatakiwa kuondoka umpishe yeye na watoto waishi wewe uende ujuako. Usijekuhangaika kwenda mahakamani kwenye kesi dhidi yake kwa maana hutashinda. Wakati unasaini kile cheti cha Ndoa ulijifunga au uliingia mkataba na serikali. Kwa hiyo, kuuvunja huo mkataba inabidi upambane na serikali. Kwahiyo kuwa na saving ubayoijua wewe tu

8. CHAGUA KUONDOKA UMWACHE NA WANAWE
Mtakapofikia hatua mkawa manapishana sana kwenye mambo mengi basi ni wakati wa wewe kumpisha. Achana na mambo Jamii itanionaje au ndugu zangu watanionaje wala usihangaike na viapo vya kanisani.

Mpishe anza maisha mapya mbali kabisa ila usiache kuwa unakuja kuwaona wanao na Mungu akikupa zaidi hudumia wanao hataka kama mtakua mmetengana. Usije kukubali hasira zikatawala akili zako, akipanda sana na ukaona kuna siku unaweza kumpiga ukanuumiza basi cha kufanya wewe ondoka kaanze maisha yako huko mbali amani ni kitu ambacho unapaswa ukitafute kwa nguvu zako zote kwa maana maisha haya ni mafupi sana.

Nawasilisha ndugu zangu. Utachagua uchukue huu ushauri au uache.
 
Habari zenu wanajamvi pendwa la MMU.
Ilikuwa tarehe 07/10/2019 Majira ya Jioni huko Dodoma nilipofunga ndoa kwa mara ya kwanza. Wakati wa sherehe usiku nilibahatika kuzungumza na mzee wangu (sio Baba mzazi) kabla ya kwenda ukumbini. Kwenye mazungumzo yetu bitu vikibwa mzee wangu alivikazia vilikuwa vingi sana ila nilivyoviona kuwa vinahusiana na masuala ya ndoa vilikuwa vifuatavyo;

1. USIACHE TAFUTA HELA KIJANA WANGU.
Kwenye hili mzee huyu aligusia kuwa, heshima ya mwanaume hupatikana kutoka kwenye kile analeta au anatoa. Ni tofauti na mwanamke, sisi wanaume tunapaswa kuwa chochote ili upendwe. Akaniambia mfano huu, ukiwa huna pesa wanao watakuona wa kawaida sana wakati fulani hata upendo wao kwako utakuwa ule wa nje ila sio ile kutoka Moyoni lakini kama ungekua na pesa watoto hawa wangekupenda kwa sababu ungewahudumia na kupitia kuwahudumia kama wanao kwenye mahitaji hayo upendo ndio unafuata. Vivyo hivyo, Wanawake pia watakupenda kwa sababu una chochote cha kuwapa na sio eti watakupenda kama ulivyo hapana. Hivyo akaniambia kijana wanagu tafuta hela kwa nguvu zako zote.

2. USIACHE KUISHI UHALISIA WAKO(USI FAKE LIFE)
Katika hili huyu mzee alinambia utakapo anza kuishi na mwenzio hakikisha unaishi uhalisia wako, kama wewe ni Mpenzi wa mpira na huwa unaenda kwenye vibanda umiza kuangalia mpira basi usiache ila kikubwa tu ukimaliza kuangalia elekea nyumbani kwa mwenzako. Kama unarafiki zako na huwa unapiga story na washikaji wako usiache ila hakikisha story za kijiweni usizilete nyumbani. Kufanya hivyo itasaidia mwenzako kukufahamu wewe kwa uhalisia wako ambapo huko mbeleni mkishakuwa miaka kadhaa kwenye ndoa upendo unapokuwa umepungua usipate shida sana unapokuwa inataka kwenye kupata ahueni ya kwenye nafsi yako kwa kuangalia na kupiga story na washikaji zako. Kwa maana mwenzako akikuzoea hivyo, ukiwa unaenda kutafuta ahueni kichwani (vent) isionekane umebadilika sana.

3. USISHIKE SIMU YAKE
Akasema, unataka ndoa yenu idumu na muishi kwa furaha achana na simu yake na yeye akiona huhangaiki na simu yake ataachana na simu yako. Akasema kipindi hiki penzi lenu likiwa Jipya mtaanza kuwa mnashikiana simu mara kwa mara na hata kupeana password za simu. Ila kaa ukijua ukifika ule muda ambao mtaanza kuchokana au kuzoeana na kila mmoja kutafuta mahali pa kupata ushauri kutoka marafiki au ndugu hapo ndipo ugomvi kwa sababu ya simu zenu utaibuka sana na hata wakati fulani msipoangalia Ndoa itavunjika.

4.USIHANGAIKE NA HELA YAKE AU MSHAHARA WAKE.
Akasema hata kama anapokea mshahara mkubwa kuliko wako wewe hudumia familia kama ilivyo kawaida na yeye akiguswa atatoa ila usihangaike kuwaza namna ya kuitumia hela yake. Cha msingi angalia namna ya kumshirikisha kwenye mipango ya maisha na umpe goal ili naye awe anafanya. Na asipofanya mlivyokubaliana usijiumize kichwa. We hudumia familia mengine achana nayo.

5. WAPENDE NDUGU ZAKE
Kwenye kuwapenda ndugu zake, usije kuwa mjinga sana mpaka uanze kujenga kwao. Kama hela zikiwa nyingi jenga nyumba ambazo zitakuwa chini yenu wawili tofauti hapo ni unajichanganya. Usisahau kuna kuja kugombana mkashindana huko mbeleni.

6. KINACHOFANYA NDOA IDUMU SIO MAPENZI
Akasema, kijana wangu mimi niko kwenye ndoa huu mwaka wa 20 sasa. Katika miaka hii yote, sio zote upendo ndio ulikuwa unatuunganisha ila kitu kimoja tu ambacho wengi huwa wanakiona sio cha msingi na kuhangaika na mapenzi wamesahau hata walioachana hapo mwanzo walikuwa wanapendana. Nikamuuliza ni kitu gani sasa mzee wangu hicho wengi wanakiona sio cha msingi. Akanambia … Kumjua Mpenzi wako vizuri kwanza inaweza kukusaidia sana kwenye ndoa kuliko hata huo mnaoita Upendo. Ukijua mwenzako anapenda nini na yeye akajua vizuri unapenda nini na akajua nanmna ya kukufanya uwe na amani na furaha akasema upendo ndio unaweza kufuata. Akanishauri kama sijamjua vizuri nijitahidi kumjua japo kwa asilimia Chache. Kwenye hili alimalizia kwa msemo wa kiingereza… “Knowledge should start first before Love”

7. KUWA NA AKIBA AMBAYO YEYE HAJUI
Iko hivi, siku mkija kuachana mambo yaneshindakana kabisa pamoja na kuwepo kwa vikao vingi wa upatanishi wewe utatakiwa kuondoka umpishe yeye na watoto waishi wewe uende ujuako. Usijekuhangaika kwenda mahakamani kwenye kesi dhidi yake kwa maana hutashinda. Wakati unasaini kile cheti cha Ndoa ulijifunga au uliingia mkataba na serikali. Kwa hiyo, kuuvunja huo mkataba inabidi upambane na serikali. Kwahiyo kuwa na saving ubayoijua wewe tu

8. CHAGUA KUONDOKA UMWACHE NA WANAWE
Mtakapofikia hatua mkawa manapishana sana kwenye mambo mengi basi ni wakati wa wewe kumpisha. Achana na mambo Jamii itanionaje au ndugu zangu watanionaje wala usihangaike na viapo vya kanisani. Mpishe anza maisha mapya mbali kabisa ila usiache kuwa unakuja kuwaona wanao na Mungu akikupa zaidi hudumia wanao hataka kama mtakua mmetengana. Usije kukubali hasira zikatawala akili zako, akipanda sana na ukaona kuna siku unaweza kumpiga ukanuumiza basi cha kufanya wewe ondoka kaanze maisha yako huko mbali amani ni kitu ambacho unapaswa ukitafute kwa nguvu zako zote kwa maana maisha haya ni mafupi sana.

Ushaur mzuri. Kasheshe SASA nani atamfunga paka kengele?
 
Binafsi nipo kwenye Ndoa kwa miaka kumi. Nakubaliana na huu ushauri wa Mshua.
Ushauri wa mwisho (namba 8) ndio Bora zaidi kwa mwanaume mwenye hekima. Vinginevyo utajikuta unawaza matumizi ya risasi 7

Hiyo namba 3 ndio inayovunja Ndoa nyingi kwa kizazi hiki cha sasa. Simu inaweza kukufanya ukayajua mengi yaliyojificha, sasa itategemea na uwezo wako wa ustahimilivu. Vinginevyo hekaheka nyingi uanzia hapa.
 
Namba 8 ni ya msingi sana japo wengi hawapendi
Wanaopotezea hiyo namba nane, huambulia kuumia sana na hata kufanya maamuzi magumu. Na hapo mimi nilikubaliana naye, baada ya kusikia story ya Saidi na Swalha… Kama umemshindwa mwanamke usilazimishe mambo, Achaneni tu ila kuna watoto we chukua kinachobebeka kaanze maisha yako mwache na wanae.
 
Ulichoambiwa ndio uhalisia wenyewe katika maisha ya ndoa lakini changamoto kwenye utekelezaji aisee hata yeye hawezi baadhi ya vipengele.
Kwa mfano kipengele gani kaka, ni suala la maamuzi tu. Maamuzi magumu huhitajika sana kwenye maisha ili kuleta badiliko kwenye maisha yetu tofauti hapo ni kuendelea kuteseka huku ukiifurahisha jamii wakiwemo wachungaji kuwa una ndoa ya mfano ili hali unajua moto unavyowaka humo ndani.! Hard decisions are made by Alpha males, the Beta males are very weak at making hard decisions.
 
Umeongea vizuri ila hapo kwenye Upendo umekosea, huwezi kupata anakupa amani na furaha kama hakupendi...huwezi kumfuata mtu kumjua kama hujampenda before..in my opinion
 
Habari zenu wanajamvi pendwa la MMU.
Ilikuwa tarehe 07/10/2019 Majira ya Jioni huko Dodoma nilipofunga ndoa kwa mara ya kwanza. Wakati wa sherehe usiku nilibahatika kuzungumza na mzee wangu (sio Baba mzazi) kabla ya kwenda ukumbini. Kwenye mazungumzo yetu bitu vikibwa mzee wangu alivikazia vilikuwa vingi sana ila nilivyoviona kuwa vinahusiana na masuala ya ndoa vilikuwa vifuatavyo;

1. USIACHE TAFUTA HELA KIJANA WANGU.
Kwenye hili mzee huyu aligusia kuwa, heshima ya mwanaume hupatikana kutoka kwenye kile analeta au anatoa. Ni tofauti na mwanamke, sisi wanaume tunapaswa kuwa chochote ili upendwe. Akaniambia mfano huu, ukiwa huna pesa wanao watakuona wa kawaida sana wakati fulani hata upendo wao kwako utakuwa ule wa nje ila sio ile kutoka Moyoni lakini kama ungekua na pesa watoto hawa wangekupenda kwa sababu ungewahudumia na kupitia kuwahudumia kama wanao kwenye mahitaji hayo upendo ndio unafuata. Vivyo hivyo, Wanawake pia watakupenda kwa sababu una chochote cha kuwapa na sio eti watakupenda kama ulivyo hapana. Hivyo akaniambia kijana wanagu tafuta hela kwa nguvu zako zote.

2. USIACHE KUISHI UHALISIA WAKO(USI FAKE LIFE)
Katika hili huyu mzee alinambia utakapo anza kuishi na mwenzio hakikisha unaishi uhalisia wako, kama wewe ni Mpenzi wa mpira na huwa unaenda kwenye vibanda umiza kuangalia mpira basi usiache ila kikubwa tu ukimaliza kuangalia elekea nyumbani kwa mwenzako. Kama unarafiki zako na huwa unapiga story na washikaji wako usiache ila hakikisha story za kijiweni usizilete nyumbani. Kufanya hivyo itasaidia mwenzako kukufahamu wewe kwa uhalisia wako ambapo huko mbeleni mkishakuwa miaka kadhaa kwenye ndoa upendo unapokuwa umepungua usipate shida sana unapokuwa inataka kwenye kupata ahueni ya kwenye nafsi yako kwa kuangalia na kupiga story na washikaji zako. Kwa maana mwenzako akikuzoea hivyo, ukiwa unaenda kutafuta ahueni kichwani (vent) isionekane umebadilika sana.

3. USISHIKE SIMU YAKE
Akasema, unataka ndoa yenu idumu na muishi kwa furaha achana na simu yake na yeye akiona huhangaiki na simu yake ataachana na simu yako. Akasema kipindi hiki penzi lenu likiwa Jipya mtaanza kuwa mnashikiana simu mara kwa mara na hata kupeana password za simu. Ila kaa ukijua ukifika ule muda ambao mtaanza kuchokana au kuzoeana na kila mmoja kutafuta mahali pa kupata ushauri kutoka marafiki au ndugu hapo ndipo ugomvi kwa sababu ya simu zenu utaibuka sana na hata wakati fulani msipoangalia Ndoa itavunjika.

4.USIHANGAIKE NA HELA YAKE AU MSHAHARA WAKE.
Akasema hata kama anapokea mshahara mkubwa kuliko wako wewe hudumia familia kama ilivyo kawaida na yeye akiguswa atatoa ila usihangaike kuwaza namna ya kuitumia hela yake. Cha msingi angalia namna ya kumshirikisha kwenye mipango ya maisha na umpe goal ili naye awe anafanya. Na asipofanya mlivyokubaliana usijiumize kichwa. We hudumia familia mengine achana nayo.

5. WAPENDE NDUGU ZAKE
Kwenye kuwapenda ndugu zake, usije kuwa mjinga sana mpaka uanze kujenga kwao. Kama hela zikiwa nyingi jenga nyumba ambazo zitakuwa chini yenu wawili tofauti hapo ni unajichanganya. Usisahau kuna kuja kugombana mkashindana huko mbeleni.

6. KINACHOFANYA NDOA IDUMU SIO MAPENZI
Akasema, kijana wangu mimi niko kwenye ndoa huu mwaka wa 20 sasa. Katika miaka hii yote, sio zote upendo ndio ulikuwa unatuunganisha ila kitu kimoja tu ambacho wengi huwa wanakiona sio cha msingi na kuhangaika na mapenzi wamesahau hata walioachana hapo mwanzo walikuwa wanapendana. Nikamuuliza ni kitu gani sasa mzee wangu hicho wengi wanakiona sio cha msingi. Akanambia … Kumjua Mpenzi wako vizuri kwanza inaweza kukusaidia sana kwenye ndoa kuliko hata huo mnaoita Upendo. Ukijua mwenzako anapenda nini na yeye akajua vizuri unapenda nini na akajua nanmna ya kukufanya uwe na amani na furaha akasema upendo ndio unaweza kufuata. Akanishauri kama sijamjua vizuri nijitahidi kumjua japo kwa asilimia Chache. Kwenye hili alimalizia kwa msemo wa kiingereza… “Knowledge should start first before Love”

7. KUWA NA AKIBA AMBAYO YEYE HAJUI
Iko hivi, siku mkija kuachana mambo yaneshindakana kabisa pamoja na kuwepo kwa vikao vingi wa upatanishi wewe utatakiwa kuondoka umpishe yeye na watoto waishi wewe uende ujuako. Usijekuhangaika kwenda mahakamani kwenye kesi dhidi yake kwa maana hutashinda. Wakati unasaini kile cheti cha Ndoa ulijifunga au uliingia mkataba na serikali. Kwa hiyo, kuuvunja huo mkataba inabidi upambane na serikali. Kwahiyo kuwa na saving ubayoijua wewe tu

8. CHAGUA KUONDOKA UMWACHE NA WANAWE
Mtakapofikia hatua mkawa manapishana sana kwenye mambo mengi basi ni wakati wa wewe kumpisha. Achana na mambo Jamii itanionaje au ndugu zangu watanionaje wala usihangaike na viapo vya kanisani. Mpishe anza maisha mapya mbali kabisa ila usiache kuwa unakuja kuwaona wanao na Mungu akikupa zaidi hudumia wanao hataka kama mtakua mmetengana. Usije kukubali hasira zikatawala akili zako, akipanda sana na ukaona kuna siku unaweza kumpiga ukanuumiza basi cha kufanya wewe ondoka kaanze maisha yako huko mbali amani ni kitu ambacho unapaswa ukitafute kwa nguvu zako zote kwa maana maisha haya ni mafupi sana.

Nawasilisha ndugu zangu. Utachagua uchukue huu ushauri au uache.
Unajua katika pitapita yangu humu JF nimegundua mwanamke ni kiumbe kimoja very complex kuliko tunavyowafikiria,maana karibu kila siku kuna mafundisho ya jinsi ya kuishi nao humu.Mimi nadhani wahenga walipokuwa wanawapeleka wanaume jandoni walikuwa wanawapa mafunzo maalumu ya jinsi ya kuishi nao bila migogoro,na ndio maana sasa hivi kumekuwa na migogoro mingi sana ya ndoa,kumbe inaonekana kuna stage ya maisha tume skip...
 
Unajua katika pitapita yangu humu JF nimegundua mwanamke ni kitu kimoja very complex kuliko tunavyowafikiria,maana karibu kila siku kuna mafundisho ya jinsi ya kuishi nao humu.Mimi nadhani wahenga walipokuwa wanawapeleka wanaume jandoni walikuwa wanawapa mafunzo maalumu ya jinsi ya kuishi nao bila migogoro,na ndio maana sasa hivi kumekuwa na migogoro mingi sana ya ndoa kumbe inaonekana kuna stage ya maisha tume skip...
Ni kweli mkuu. Lakini bado nafasi bado ipo kuwasaidia wadogo zetu wanaotarajia kuingia kwenye ndoa.
 
Umeongea vizuri ila hapo kwenye Upendo umekosea, huwezi kupata anakupa amani na furaha kama hakupendi...huwezi kumfuata mtu kumjua kama hujampenda before..in my opinion
Dada Rebeca, Ukweli ni kwamba Upendo huyeyuka kama vile ambavyo Mshumaa ukiuwasha unakuwa unawaka safi tu na unaweza dhania kuwa huu mshumaa hautakuja kufifia na hadi kuzima.
Na hata kwenye ndoa hali huwa hivyo hivyo, lakini kama Knowledge (Hali ya kujuana) ilikuepo hapo mwanzo inaweza kuwafanya muendelee kuwa pamoja na hiyo knowledge inaweza kusaidia hata kuurudisha huo upendo. Lakini kama upendo ukitangulia bila ujuzi wa kuishi na mwenzio kuwepo usitegemee kuwepo kwa recovery kwenye Ndoa yenu kwa sababu hamna ujuzi unaohitajika. Ujuzi utahusisha mbinu za kumfanya mwenzako akusamehe, akuelewe na ujuzi wa kuepuka magomvi yasiyo ya msingi.
Da rebeca, Kuna watu waliachana wakiwa bado wanapendana ila sema hawakuwa na ujuzi wa kuishi na kila mmoja ndio maana wakajikuta wanashindwana. Watu wa namna hiyo ndio huwa baadae wanawasiliana na wakati nwingine kupasha viporo. Sijui umenielewa Mkuu
 
Binafsi nipo kwenye Ndoa kwa miaka kumi. Nakubaliana na huu ushauri wa Mshua.
Ushauri wa mwisho (namba 8) ndio Bora zaidi kwa mwanaume mwenye hekima.

Hiyo namba 3 ndio inayovunja Ndoa nyingi kwa kizazi hiki cha sasa. Simu inaweza kukufanya ukayajua mengi yaliyojificha, sasa itategemea na uwezo wako wa ustahimilivu. Vinginevyo hekaheka nyingi uanzia hapa.
Ni kweli mkuu, sasa kuepuka hayo we usihangaike naye sana. Kama kitu ni kibaya na kama kinaweza tokea hakuna namna utakikwepa.
 
Dada Rebeca, Ukweli ni kwamba Upendo huyeyuka kama vile ambavyo Mshumaa ukiuwasha unakuwa unawaka safi tu na unaweza dhania kuwa huu mshumaa hautakuja kufifia na hadi kuzima.
Na hata kwenye ndoa hali huwa hivyo hivyo, lakini kama Knowledge (Hali ya kujuana) ilikuepo hapo mwanzo inaweza kuwafanya muendelee kuwa pamoja na hiyo knowledge inaweza kusaidia hata kuurudisha huo upendo. Lakini kama upendo ukitangulia bila ujuzi wa kuishi na mwenzio kuwepo usitegemee kuwepo kwa recovery kwenye Ndoa yenu kwa sababu hamna ujuzi unaohitajika. Ujuzi utahusisha mbinu za kumfanya mwenzako akusamehe, akuelewe na ujuzi wa kuepuka magomvi yasiyo ya msingi.
Da rebeca, Kuna watu waliachana wakiwa bado wanapendana ila sema hawakuwa na ujuzi wa kuishi na kila mmoja ndio maana wakajikuta wanashindwana. Watu wa namna hiyo ndio huwa baadae wanawasiliana na wakati nwingine kupasha viporo. Sijui umenielewa Mkuu

Mkuu ngumu kuamini, upendo wa kweli huyeyuka, nifafanulie how.. labda kama mmoja alimpenda mwenzie ila mwenzie hakumpenda, yaani wote mkutane mnapendana, upendo uishe...never!...na yes mkikutana mkapendana naturally mnafahamiana, upendo kwanza and then kufahamiana mkuu,ombea umpate wako uliyeandikiwa nae, hakuna kuisha upendo..lol
 
Habari zenu wanajamvi pendwa la MMU.
Ilikuwa tarehe 07/10/2019 Majira ya Jioni huko Dodoma nilipofunga ndoa kwa mara ya kwanza. Wakati wa sherehe usiku nilibahatika kuzungumza na mzee wangu (sio Baba mzazi) kabla ya kwenda ukumbini. Kwenye mazungumzo yetu bitu vikibwa mzee wangu alivikazia vilikuwa vingi sana ila nilivyoviona kuwa vinahusiana na masuala ya ndoa vilikuwa vifuatavyo;

1. USIACHE TAFUTA HELA KIJANA WANGU.
Kwenye hili mzee huyu aligusia kuwa, heshima ya mwanaume hupatikana kutoka kwenye kile analeta au anatoa. Ni tofauti na mwanamke, sisi wanaume tunapaswa kuwa chochote ili upendwe. Akaniambia mfano huu, ukiwa huna pesa wanao watakuona wa kawaida sana wakati fulani hata upendo wao kwako utakuwa ule wa nje ila sio ile kutoka Moyoni lakini kama ungekua na pesa watoto hawa wangekupenda kwa sababu ungewahudumia na kupitia kuwahudumia kama wanao kwenye mahitaji hayo upendo ndio unafuata. Vivyo hivyo, Wanawake pia watakupenda kwa sababu una chochote cha kuwapa na sio eti watakupenda kama ulivyo hapana. Hivyo akaniambia kijana wanagu tafuta hela kwa nguvu zako zote.

2. USIACHE KUISHI UHALISIA WAKO(USI FAKE LIFE)
Katika hili huyu mzee alinambia utakapo anza kuishi na mwenzio hakikisha unaishi uhalisia wako, kama wewe ni Mpenzi wa mpira na huwa unaenda kwenye vibanda umiza kuangalia mpira basi usiache ila kikubwa tu ukimaliza kuangalia elekea nyumbani kwa mwenzako. Kama unarafiki zako na huwa unapiga story na washikaji wako usiache ila hakikisha story za kijiweni usizilete nyumbani. Kufanya hivyo itasaidia mwenzako kukufahamu wewe kwa uhalisia wako ambapo huko mbeleni mkishakuwa miaka kadhaa kwenye ndoa upendo unapokuwa umepungua usipate shida sana unapokuwa inataka kwenye kupata ahueni ya kwenye nafsi yako kwa kuangalia na kupiga story na washikaji zako. Kwa maana mwenzako akikuzoea hivyo, ukiwa unaenda kutafuta ahueni kichwani (vent) isionekane umebadilika sana.

3. USISHIKE SIMU YAKE
Akasema, unataka ndoa yenu idumu na muishi kwa furaha achana na simu yake na yeye akiona huhangaiki na simu yake ataachana na simu yako. Akasema kipindi hiki penzi lenu likiwa Jipya mtaanza kuwa mnashikiana simu mara kwa mara na hata kupeana password za simu. Ila kaa ukijua ukifika ule muda ambao mtaanza kuchokana au kuzoeana na kila mmoja kutafuta mahali pa kupata ushauri kutoka marafiki au ndugu hapo ndipo ugomvi kwa sababu ya simu zenu utaibuka sana na hata wakati fulani msipoangalia Ndoa itavunjika.

4.USIHANGAIKE NA HELA YAKE AU MSHAHARA WAKE.
Akasema hata kama anapokea mshahara mkubwa kuliko wako wewe hudumia familia kama ilivyo kawaida na yeye akiguswa atatoa ila usihangaike kuwaza namna ya kuitumia hela yake. Cha msingi angalia namna ya kumshirikisha kwenye mipango ya maisha na umpe goal ili naye awe anafanya. Na asipofanya mlivyokubaliana usijiumize kichwa. We hudumia familia mengine achana nayo.

5. WAPENDE NDUGU ZAKE
Kwenye kuwapenda ndugu zake, usije kuwa mjinga sana mpaka uanze kujenga kwao. Kama hela zikiwa nyingi jenga nyumba ambazo zitakuwa chini yenu wawili tofauti hapo ni unajichanganya. Usisahau kuna kuja kugombana mkashindana huko mbeleni.

6. KINACHOFANYA NDOA IDUMU SIO MAPENZI
Akasema, kijana wangu mimi niko kwenye ndoa huu mwaka wa 20 sasa. Katika miaka hii yote, sio zote upendo ndio ulikuwa unatuunganisha ila kitu kimoja tu ambacho wengi huwa wanakiona sio cha msingi na kuhangaika na mapenzi wamesahau hata walioachana hapo mwanzo walikuwa wanapendana. Nikamuuliza ni kitu gani sasa mzee wangu hicho wengi wanakiona sio cha msingi. Akanambia … Kumjua Mpenzi wako vizuri kwanza inaweza kukusaidia sana kwenye ndoa kuliko hata huo mnaoita Upendo. Ukijua mwenzako anapenda nini na yeye akajua vizuri unapenda nini na akajua nanmna ya kukufanya uwe na amani na furaha akasema upendo ndio unaweza kufuata. Akanishauri kama sijamjua vizuri nijitahidi kumjua japo kwa asilimia Chache. Kwenye hili alimalizia kwa msemo wa kiingereza… “Knowledge should start first before Love”

7. KUWA NA AKIBA AMBAYO YEYE HAJUI
Iko hivi, siku mkija kuachana mambo yaneshindakana kabisa pamoja na kuwepo kwa vikao vingi wa upatanishi wewe utatakiwa kuondoka umpishe yeye na watoto waishi wewe uende ujuako. Usijekuhangaika kwenda mahakamani kwenye kesi dhidi yake kwa maana hutashinda. Wakati unasaini kile cheti cha Ndoa ulijifunga au uliingia mkataba na serikali. Kwa hiyo, kuuvunja huo mkataba inabidi upambane na serikali. Kwahiyo kuwa na saving ubayoijua wewe tu

8. CHAGUA KUONDOKA UMWACHE NA WANAWE
Mtakapofikia hatua mkawa manapishana sana kwenye mambo mengi basi ni wakati wa wewe kumpisha. Achana na mambo Jamii itanionaje au ndugu zangu watanionaje wala usihangaike na viapo vya kanisani. Mpishe anza maisha mapya mbali kabisa ila usiache kuwa unakuja kuwaona wanao na Mungu akikupa zaidi hudumia wanao hataka kama mtakua mmetengana. Usije kukubali hasira zikatawala akili zako, akipanda sana na ukaona kuna siku unaweza kumpiga ukanuumiza basi cha kufanya wewe ondoka kaanze maisha yako huko mbali amani ni kitu ambacho unapaswa ukitafute kwa nguvu zako zote kwa maana maisha haya ni mafupi sana.

Nawasilisha ndugu zangu. Utachagua uchukue huu ushauri au uache.
Kupitia ujumbe huu inaonyesha wazi tunamhitaji sana Bwana Mungu, kuishi na mwenzi wako kwa namna ya kumwona kama mtu mbaya ni hatari. Pia tunapaswa kuangalia misingi yetu ya ndoa inavyoanza hasa vijana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom