Wakuu habarini za jpli natumahi mpo poa kabisa kama mh Sabaya anyway nije kwenye point.
Kuna ka demu kamoja kameamia nyumba niliyopanga kapo chul sasa kiukweli toka kameamia hapa ni nyumba...
Salama?
Muda huu ninapoongea mama mmoja ambaye nimezaa naye mtoto wa kiume amefika hostel kwangu na mwanangu huyu wa kiume. Nimelia machozi kwani tumefanana ila kiasi kafanana na mama ake.
Huyu...
Nilikutana nae mwaka 2018 tukawa karibu sana kuchat na kupigiana simu kila muda, Mimi nilivo nikiwa na relation na care sana asubuhi ntakujulia hali mchana na jioni ndivo nilivo
Huyu mchepuko...
Sifa
Awe mtanzania
Umri 26-28
Dini yoyote kikubwa awe na hofu ya MUNGU kupitia dini yake anayo iamini
Kuhusu kazi so ishu sana kwa upande tutapanga tukiwa pamoja ni namna gan tuishi...
Kuna demu mmoja ni kama RFK angu sana sasa amekuwa akimpondea jamaake kwangu Mara jamaa hajui mapenzi Mara aniombe ushauri kuhusu mapenzi yake lakini pia kama nikiwa nimempost demu yoyote status...
Yani ambao hatupo photogenic, tunaopiga picha kama tunalia na sura zetu personal tunanyanyasika sana, unawasiliana na mtu vizuri, ikifika kipengdle cha picha unashangaa ghafla mtu amebadilika...
Hakika mna kheri.Ma mkwe vijana imekuwa shida Sana,zamani walishindikana Kwa mdomo but now wameshindikana Kwa vyote...game wanataka wale na watoto wao...
Masimango na kuchagulia waume au wake...
Nadhani hii wengi imetukumba kama wanaume, unakuta umemkamatia mrembo kifo cha mende lakini yeye yupo kuchat Instagram na WhatsApp unajiuliza inamana hapa nacheza bolingo ama. Mbona namtia bakora...
Kuna pisi fulani ya kipare ilinikubali sana na mimi nilimwelewa. Tulishapiga sana romance, nimemtoa out mara kadhaa.
Siku moja usiku wa saa sita baada ya romance demu akataka game mimi nikakataa...
Wazazi wenye watoto wakiume.
Dunia imebadilika hii, wafundisheni watoto kazi za nyumban, kuna leo na kesho. Sio kazi za nyumban ziwe za watoto wa kike tu. Dada yangu kapata wageni shemeji zake...
Ni ukweli, baada ya juzi dushe kugoma kuamka nilikuja na uzi hapa ukisema mwanaume mwenzenu leo nimeaibika hatimae ile aibu nimeivua
Yes baada ya kushindwa kumfanya chochote yule mrembo Latifa...
Wanaume hebu kwanza tujadili hili jambo
Leo hiyi ukiomba mahusiano na mwanamke, awe mdogo au mtu mzima,
Likija suala la kufanya nae sex lazima hapo ajione u special wa mwanamke kana kwamba kile...
Wakuu naombeni msaada wenu, ni kijana ambae nimo bellow 27..., nmekua na wasichana tofauti kwenye mahusiano, ukiachana na hilo nina mmoja ambae niko nae very close.
Shida ni kua nmefanya nae...
Habarini,
Tangu mwanzo nilipomtoa bikra, its one year and a half. Tunapofanya romance naye kabla ya sex (kushikana, kissing) anapata hisia kubwa tu, lakini tunapofanya penetration mara nyingi...
Nimeamua kuwaletea huu uzi wana jamii wenzangu, hebu na tuanze Katika maisha ya mwanadamu ya kila siku tunayashuhudia mengi sana hususani pale unapoanza kubale ndipo season inaanza.
Ukikumbuka...
#SOMO:KERO KUBWA KWENYE TENDO LA NDOA, ZINAZOHARIBU NDOA NYINGI.
Hairuhusiwi kusomwa na walio na umri chini ya miaka 18
AHM Sikiliza Ubongo wa kila mwanadamu unaujua umuhimu wa tendo la ndoa...
Kama kichwa Cha habari kinavyosema Ni Mara ya Pili nakuja Tena nikihitaji maoni, ushauri na ikiwezekana msaada wa kimawazo kuhusu hili lililo mbele yangu kwa muda huu. Niliwahi kuja humu mwezi wa...
Tuungane tena kwenye kuliangalia hili.
Jamaa yangu ni chapombe,bangi na mwasherati aliyekubuhu.Mara kadhaa amekuwa analewa nakulala nje(harudi nyumbani).Tarehe zamshahara haonekani nyumban hadi...
Can Men and Women Be Friends?
Can men and women be "just friends," or is sexual attraction between the sexes always inevitable? According to Rabbi Shmuley's book, men and women can be friends with...
Ndio Inawavutia wanawake, lakini kwa kawaida ni aina mbaya ya wanawake, wale ambao kimsingi wanapendezwa na pesa (Slay Queens). Wanaume wengi wenye akili, wacheshi, watanashati na wenye haiba...