kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 332
- 952
Kuna demu mmoja ni kama RFK angu sana sasa amekuwa akimpondea jamaake kwangu Mara jamaa hajui mapenzi Mara aniombe ushauri kuhusu mapenzi yake lakini pia kama nikiwa nimempost demu yoyote status WhatsApp anakuwa kama hapendi japo nilishawahi kumtongozaga akanikatlia akasema ana MTU nikamuelewa sasa naona ukaribu wake kwangu umekuwa mkubwa sana nifanyaje?
Nitumie mbinu IPI kumnasa
Nitumie mbinu IPI kumnasa