Huyu mwanamke ananitesa

Huyu mwanamke ananitesa

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
332
Reaction score
952
Wakuu habarini za jpli natumahi mpo poa kabisa kama mh Sabaya anyway nije kwenye point.

Kuna ka demu kamoja kameamia nyumba niliyopanga kapo chul sasa kiukweli toka kameamia hapa ni nyumba ambayo inawapangaji wengi sasa watu wamekuwa wakikisifia kuwa ni karembo sana na shobo za hapa na pale japokuwa mimi sina shobo nae maana mimi hulka yangu uwa sio mtu wa kumfahamu mtu ghafla ghafla

Sasa juzi kati kademu nimekutana nacho kalikuwa kanatoka kuoga kakawa kananiambia kaka nasikia unaimba nipe nambaako ya whatsapp ntakucheki sapu mida unirushie ngoma zako.

Nikamjibu sawa nikampa then nikasepa sasa jioni kameanza kunichatisha mambo nikawa nachati nacho sasa naona mada kanazoongea hazieleweki mara nilikuwa nakusalimia mara hivi sasa nije kwenye point kuu kamezidisha mazoea now na mimi nataka nikale kimasihara bila kutongozana je wakuu nitumie mbinu gani nimle na nisipigwe hela iwe kimasihara then muhuni nipite zangu kushoto?
 
Mtoe kwenye avator hapo Kwanza!

Tuache hayo, tuzungumze kuhusu mziki.. unaweza kutumia ala gani Mkuu?
 
Back
Top Bottom