Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 6,465
- 13,729
Kuna pisi fulani ya kipare ilinikubali sana na mimi nilimwelewa. Tulishapiga sana romance, nimemtoa out mara kadhaa.
Siku moja usiku wa saa sita baada ya romance demu akataka game mimi nikakataa kwa sababu muda ulikuwa umeenda nikamwambia tugegedane siku nyingine. Alikubali ila kinyonge sana.
Baadaye alinilaumu ila mimi nikachukulia poa. Baada ya kulalamika siku moja nikamwambia niko tayari akakataa. Nilimtumia meseji hakujibu nilimpigia simu hapokei. Na kwa kuwa mimi huwa sipendi sana kubembeleza tumemwagana, hatuna mawasiliano ila tukikutana zimebaki salamu tu. Ila kikweli bado namtamani hata leo akisema ananipa game sikatai.
Inaniuma sana mpaka tunaachana sikuwahi kula mbususu yake.
Je, mimi ndiye mzembe au demu ndio kazingua? Ushauri wenu tafadhali