Nguvu ya bikra kwa mwanamke

Nguvu ya bikra kwa mwanamke

minded tips

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
507
Reaction score
876
Kwanza heshima kwenu wakubwa,naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Kule facebook nina group langu lina watu elfu 60 ila wengi ni wanawake na hii ni kutokana na mada ninazoweka mle zinavutiwa sana na wadada kuliko wanaume

Juzi nilipost post inasema "DADA NENO MOJA TU KWA ALIYEKUTOA BIKRA"

wakuu hamuwezi kuamini comments 456 wadada wameandika "NAMPENDA SANA" ukweli nilijikuta roho inaniuma sana kwa sababu nina uhakika wengi mle wana mahusiano na wameolewa na wanaume ambao hawakuwatoa bikra na hapa nimegundua kua kumbe mwanamke ukimuoa hana bikra maana yake umemuoa demu wa mshikaji tu....na upo uwezekano mkubwa wa mwanamke licha ya kua yupo kwenye ndoa akanyanduliwa na bwana wake aliyemtoa bikra wakati wowote ule.. inauma sana aisee,[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

USHAURI: ndugu zangu tujitahidi sana tuoa wanawake ambao ni bikra maana hata hili kwa wenye imani na Mungu mmoja tulishasisitiziwa sana tu
JamiiForums-2095487739.jpg
 
Mwanamke HATOMSAHAU maishani mwake Mwanaume aliyemtoa BIKRA ....

Mwanamke HATOKAA KAMWE KUMSAHAU KABISA MWANAUME ALIYEZAA NAYE.

Suala la Kuliwa Mbususu na aliyemtoa BIKRA au ALIYEZAA NAYE..... Litategemea sababu nyinginezo..... Ila aliyezaa naye ,uwezekano wa Kula mzigo ni mkubwaaaaaa sana.

Ni Life tu !!!. ......mambo mengine ukiyachunguza sanaaaaaa, hautakaa kula mbususu, huku wana wasokua na gubu, wakiendelea kujipigia.

Yaaan weee Ukipewa, acha manung'uniko na maneno kama mzaramo, wee ichapee ,ipigeeee, ikojozeeee, SIKU ZIENDE.

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Tatizo wanawake bikra siku hizi ni adimu sana na bikra sio kipimo cha ndoa/mahusiano kuwa imara na kudumu..

KWANZA BIKRA ITAKUWA BONGO?
Mkuu bikra zipo tu ila ukubali kuacha kazi ufanye kazi hasa ....ila daah tunagongewa sana jamani yani yapo matukio siwezi yasahau hata kidogo.

Dada alikua na mpenzi wake aliyemtoa bikra huko mkoani ikawa bahati dada kaolewa akaletwa dar na ndio alikokua anaishi na mumewe.

Sasa siku dada akapata namba za mpenzi yule wa kwanza akamfanyia mpaka mpango wa kazi huku yani yuke mke akawa anaaga anaenda kwa dada yake kumbe anaenda kwa mshikaji ....binafsi hata sijui kama nitaoa
 
Mwanamke HATOMSAHAU maishani mwake Mwanaume aliyemtoa BIKRA ....



Mwanamke HATOKAA KAMWE KUMSAHAU KABISA MWANAUME ALIYEZAA NAYE.



Suala la Kuliwa Mbususu na aliyemtoa BIKRA au ALIYEZAA NAYE..... Litategemea sababu nyinginezo..... Ila aliyezaa naye ,uwezekano wa Kula mzigo ni mkubwaaaaaa sana.



Ni Life tu !!!. ......mambo mengine ukiyachunguza sanaaaaaa, hautakaa kula mbususu, huku wana wasokua na gubu, wakiendelea kujipigia.



Yaaan weee Ukipewa, acha manung'uniko na maneno kama mzaramo, wee ichapee ,ipigeeee, ikojozeeee, SIKU ZIENDE.


Nasema uongo ndugu zangu?????
Kweli kabisa
 
Mkuu bikra zipo tu ila ukubali kuacha kazi ufanye kazi hasa ....ila daah tunagongewa sana jamani yani yapo matukio siwezi yasahau hata kidogo....

Dada alikua na mpenzi wake aliyemtoa bikra huko mkoani ikawa bahati dada kaolewa akaletwa dar na ndio alikokua anaishi na mumewe
Sasa siku dada akapata namba za mpenzi yule wa kwanza akamfanyia mpaka mpango wa kazi huku yani yuke mke akawa anaaga anaenda kwa dada yake kumbe anaenda kwa mshikaji ....binafsi hata sijui kama nitaoa
CHANGAMOTO HASWAA MKUU
 
Kwanza heshima kwenu wakubwa,naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Kule facebook nina group langu lina watu elfu 60 ila wengi ni wanawake na hii ni kutokana na mada ninazoweka mle zinavutiwa sana na wadada kuliko wanaume

Juzi nilipost post inasema "DADA NENO MOJA TU KWA ALIYEKUTOA BIKRA"

wakuu hamuwezi kuamini comments 456 wadada wameandika "NAMPENDA SANA" ukweli nilijikuta roho inaniuma sana kwa sababu nina uhakika wengi mle wana mahusiano na wameolewa na wanaume ambao hawakuwatoa bikra na hapa nimegundua kua kumbe mwanamke ukimuoa hana bikra maana yake umemuoa demu wa mshikaji tu....na upo uwezekano mkubwa wa mwanamke licha ya kua yupo kwenye ndoa akanyanduliwa na bwana wake aliyemtoa bikra wakati wowote ule.. inauma sana aisee,[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

USHAURI: ndugu zangu tujitahidi sana tuoa wanawake ambao ni bikra maana hata hili kwa wenye imani na Mungu mmoja tulishasisitiziwa sana tu
View attachment 2063779
Hafu picha za hawa warembo wanavutiwa kuona ukienda kupiga mzigo ukimaliza unajuta kwanini ulimtongoza wengi hawana maajabu kitandani
 
Kwanza heshima kwenu wakubwa,naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Kule facebook nina group langu lina watu elfu 60 ila wengi ni wanawake na hii ni kutokana na mada ninazoweka mle zinavutiwa sana na wadada kuliko wanaume

Juzi nilipost post inasema "DADA NENO MOJA TU KWA ALIYEKUTOA BIKRA"

wakuu hamuwezi kuamini comments 456 wadada wameandika "NAMPENDA SANA" ukweli nilijikuta roho inaniuma sana kwa sababu nina uhakika wengi mle wana mahusiano na wameolewa na wanaume ambao hawakuwatoa bikra na hapa nimegundua kua kumbe mwanamke ukimuoa hana bikra maana yake umemuoa demu wa mshikaji tu....na upo uwezekano mkubwa wa mwanamke licha ya kua yupo kwenye ndoa akanyanduliwa na bwana wake aliyemtoa bikra wakati wowote ule.. inauma sana aisee,[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

USHAURI: ndugu zangu tujitahidi sana tuoa wanawake ambao ni bikra maana hata hili kwa wenye imani na Mungu mmoja tulishasisitiziwa sana tu
View attachment 2063779
Bikra hio kwiyo
 
Back
Top Bottom