Hawa wanawake wa leo wanampa dada wa kazi a-handle mume na watoto huku wao wakifuga kucha

City Rider

JF-Expert Member
Jul 31, 2022
403
1,210
Kama wazee wetu walioa mama zetu wakawapikia chakula kitamu, wakawafulia nguo, wakaombea mafanikio, wakalea watoto na wakasimama kama wanawake katika kuistablize familia

Je, hawa wanawake wa leo wanaompa dada wa kazi a-handle mume na watoto huku wao wakifuga kucha ndefu na nywele maarufu kama brazilian hair chakula dada wa kazi, kufua dada wa kazi, kunyoosha, kulea watoto dada, uhalali wao wa kuwa mke/ wake unatokana na nini?

Tukisema ni mbususu zipo za kutosha mtaani, shape sura zipo kibao kwanini unaoa. Sababu gani inakufanya uoe mwanamke mzuri wa kukuandalia vitu vitamu alafu na yeye anakuletea dada wa kazi.

Wanawake kabla hamjaomba mume hakikisheni mnajua maana halisi ya neno Mke.
 
Back
Top Bottom