kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 332
- 952
Wakuu nina mwanamke mmoja ni rfk tu sasa tumezoeana sana ila cha ajabu amekuwa akinilalamikia mahusiano yake kila daily mbaya zaidi amekuwa akiniomba ushauri kwamba amuache jamaake Mara jamaa anamtesa Mara hivi ila cha ajabu ananipigia simu kila mda na uwa anaulizia sana mademu zangu sana,
Huyu mwanmke nilimtongozaga akanikataa akasema tuwe marafiki nikaona isiwe poa sasa wakuu nitumie mbinu gani kumpata maana hamtaki jamaake tena
Huyu mwanmke nilimtongozaga akanikataa akasema tuwe marafiki nikaona isiwe poa sasa wakuu nitumie mbinu gani kumpata maana hamtaki jamaake tena