Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unachohitaji kujua: Kinachosababisha mapenzi/mahusiano kufa wala sio mambo makubwa sana bali ni usimamizi mbaya wa kila siku wa mambo madogo madogo ya maisha. Hayo mambo unayoyaona kuwa madogo...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna dada mmoja namuelewaga sana nikajitahidi kupata mawasliano nae nikafanikiwa tukawa marafik kabsa. Zilipofika nyakati za kumtongoza nikafanya hivo na akasema naomba muda kidgo takujibu. Sasa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu amani kwenu. Leo nimekuwa natafakari jinsi mambo ya mahusiano ya mapenzi yalivyo kwenye dunia yetu ya leo. Kuna swali najiuliza nabaki kutabasamu tu, hivi kweli leo hii sheria hizi...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
1. Anaficha hisia zake: Anaweza akakwambia kila kitu, lakini asikwambie jinsi siku yake ilivyokuwa, hapo kuna uwezekano mkubwa huwa anamweleza mwanaume mwingine. Kama hakuambii kuhusu masahibu...
13 Reactions
53 Replies
35K Views
Miaka 14 iliyopita nlikuwa kwenye Bus naelekea Arusha. Safari ilikuwa ya kikazi nmeondoka hapa Jumamosi kuelekea Arusha kuendeleza Ujenzi wa Taifa. Binafsi huwa napenda kukaa siti ya nyuma ya...
129 Reactions
266 Replies
48K Views
πŸ’•πŸ˜„πŸ‘ˆJIFUNZE KULALA NA MUME WAKO KITANDANI KWA USTAARABUπŸ˜„πŸ’ͺ UJUMBE WA MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------😘MUME NI MTAMU😘 πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’• πŸ’•πŸ’•πŸ‘πŸΎMke nywele zako ndefu unashauriwa...
12 Reactions
78 Replies
14K Views
Waje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo. Wajue pia wanaweza kula issue nyingine kimasikhara. Waonane na wataalamu humu...
2 Reactions
7 Replies
687 Views
Kuna demu fulani nimetokea kumpenda ni mfanyakazi mwenzangu Demu tayari nimeshaongea naye ila kibaya zaidi naona yupo tofauti na wanawake wengine Kwanza anajiamini kinoma Pili ni mtu sometime...
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Aisee, sijui enzi izo wahenga walikuwa wanawaza nini hadi wakaja na huu msemo. Amini usiamini mtalaka huwa atongozwi kabisa.. Nimekuwa na X wengi kidogo ambao matika makuzi au maisha yetu ya...
16 Reactions
241 Replies
17K Views
Natafuta mwanamke wa kumuoa, umri wangu miaka 30, elimu yangu degree moja, kazi nimejiajiri, kipato endelevu, dini yangu mkristo, Nina mtoto mmoja. Mke wangu alifariki akaniachia mtoto, nipo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwema humu? Nawasilisha hitaji la mke wa pili kama ambavyo nilimpata wa kwanza humu. Umri wake usizidi miaka 32. Kwa mwenye utayari tunaweza kuwasiliana kupitia PM.
4 Reactions
11 Replies
995 Views
habari zenu Leo nimeweza kufanya fumanizi nililopanga ila kabla sijafanya hayo nimepitia hatua zifuatazo A. Nimealika watu wa heshima 1. mchungaji 2. Kaka yake mke wangu ambaye yupo mtaa wa karibu...
40 Reactions
419 Replies
51K Views
Kama kawaida katika jitihada za kuendelea kuwapambania wateswa na mapenzi . 1. Hauna pesa, nikisema pesa nazingumzia pesa kwa ajiri yako wewe mwenyewe sio za kutuma na ya kutolea, pesa zitakazo...
3 Reactions
7 Replies
987 Views
1,Kinyaa,mwanamke anajitahidi anampa mmewe penzi lake bila tatizo ila baadae utaona au utasikia anatoka na mwanamke mwingine mchepuko,unawaza yaani hili limwanaume silinyimi kitumbua linaenda huko...
31 Reactions
157 Replies
22K Views
Kwa sisi makabila ya kusini mara tu mtoto (wa kike na kiume) anapopitia jando na unyago,hua ndio tiketi ya kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wetu, ulingana na mafundisho tunayopewa kule...
8 Reactions
45 Replies
6K Views
Za asubuhi wakuu(Au nikamuulize jogoo? Nina siku ya 31 tangu nijiunge na harakati ya ukombozi wa nafsi iitwayo NoFap Challenge. Kuna vitu vimenitokea naona kama hii kweli inasaidia kuponya nafsi...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Closed
Natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo 1. Awe amezaa 2. Umri miaka kuanzia 25-32 3. Awe anasali dini yeyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi 4. Kabila lolote isipokuwa Kutoka Lindi 5. Umbo...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
AFRIKA ndo bara ambao wanaume wanakaa kwa kuwatukuza sana wanawake Kivipi? Utakuta mtu anapambana na mavumbi ya kongo ili mpenzi wake aridhike na akitoka hapo bado anatoa hela wakati raha...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…kwanza nchekeee!! Mshikaji wangu Homeboy alikuwa na Demu hapo Mwanza Town so alikuwa amepata demu mkali wa Kisukuma bomba sana. Waliishi mida mida hivi kama miaka miwili hivi. Wakisaidiana...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Sielewi mda huu tumetoka kugombana, huyu ni mchumba wangu na nimke wangu mtarajiwa, nilikuwa safari South Sudan nimerudi leo kwakushtukiza maana nilimwambia narudi kesho kutwa. Sasa nilipo fika...
15 Reactions
84 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…