Mademu zenu wanawapenda ila mnakwama hapa

Mademu zenu wanawapenda ila mnakwama hapa

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,601
Reaction score
8,710
Kama kawaida katika jitihada za kuendelea kuwapambania wateswa na mapenzi .

1. Hauna pesa, nikisema pesa nazingumzia pesa kwa ajiri yako wewe mwenyewe sio za kutuma na ya kutolea, pesa zitakazo kufanya ujipende na ujithamini wewe kama kijana. Bila kujisahau kujitoa out sehemu mbalimbali ambazo ndio chambo kwa mademu ...yaani uache tabia ya kuwaalika mademu geto na loji badala yake waalike sehemu nyingine tofauti na hizo ambazo huko huko utamkula bila pingamizi na kwa ushirikiano tena bila kutongoza.

2. Shobo, hili ni kosa kubwa la kiufundi wengi wenu mkipenda mademu basi shobo zina wajaa na kujifanya nyie ndio wakina mama wa hao mademu zenu yaani mna walinda na kuwatake care hadi mnapitiliza. Na wengi mpo hapa [emoji16][emoji16] alie kuambia demu anapenda hayo nani .....? Demu hata kama unampenda vipi jifanye humjui utamfaidi ila nyie mnao jiita majentromeni mtaishia kupigwa mitama ya shingo hadi akili ziwakae sawa na hata harufu ya mbususu hamta nusa.

3. Hamna malengo, wengi wenu mnaishi kama panya yaani mpo mpo tu yaani mnaishi bila utaratibu na formular. Kifupi ukiishi kwa malengo na utaratibu hutashindwa kumuambia demu hapana, pale unapo kuwa kwenye kazi yako muhimu. Sasa wewe upo kazini demu anakuomba mkutane eri unaacha kazi unamta muda huohuo na kuacha kazi ....hapa demu lazima akuone wewe ni bogazi . Ila ukimuambia kwa sasa siwezi kukutana na wewe tufanye muda fulani lazima akuheshimu ..... ila kwa sababu umeamua kuwa na uji kichwani badala ubongo we endelea kulalamika mbususu hazipo.

4.hii utajazia wewe mwenyewe huwa unafanya utaira gani hadi mbususu zinakusumbua na kuona kila mtu anae fanikiwa kula mbususu ni muujiza


NB
Wanaume tutafute pesa, na hizi pesa ni kwa ajiri yetu na jamii ya watu wenye mahitaji maalumu na watoto. Hawa wengine tuendelee kuishi nao kisela.
 
1663256817135.jpg
 
Back
Top Bottom