Hizi ndizo sababu 10 za mwanaume kunyimwa unyumba

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
1,Kinyaa,mwanamke anajitahidi anampa mmewe penzi lake bila tatizo ila baadae utaona au utasikia anatoka na mwanamke mwingine mchepuko,unawaza yaani hili limwanaume silinyimi kitumbua linaenda huko linachoma huko tena lije kwangu lichome humu na dudu lake lile lile bora angekuwa na madudu mawili,unahisi kinyaa kwa kweli

2,Mwanamke anakupa kitumbua chake akitegemea atapata raha lakini anachokutana nacho siyo,mwanamme anafanya tu ili yeye akojoe basi lakini hapimi hisia za mwenzake zimepanda kiasi gani,na zinataka zishushwe kwa kiasi gani na yeye aridhike,wew ukishakojoa basi unashuka hujui mkeo umemuacha na hali gani,siku ukihitaji mwanamke anaona hii ni michosho anakunyima

3,uchafu,sisi tunasisimka na kuwa na hamu na mpenzi au mumeo kama ni msafi na mtanashati muda wote,hata kama anafanya kazi za kutumia nguvu kama kuchimba mitaro,gereji,lakini akitoka huko akaja akaoga na kuvaa vizuri anakuvutia kumpa penzi,lakini wengine wanakuwa na majasho hayo anataka umpe dah,kwa kweli hutapewa

4,Mbinu,kwa kawaida sisi wanawake huwa tunategemea makubwa kutoka kwa mwanaume wakati wa tendo,mwanaume kama dreva,sisi tunasubiri maelekezo kutoka mwanaume, style, ili akuridhishe,sasa yeye kila akija anakupapasa dakika 5 anapanda juu,unakuwa michosho

5,kuna wanaume wanashindwa kuhudumia familia,mmezaa watoto lakini yeye hasimamii huduma za familia kwa asimia 100 labda asilimia 20 hadi 50 zingine anamuachia mwanamke,, halafu mwanamke ndo anakuwa mzalishaji ili familia ile ,ivae,na ilale ,hapo utanyimwa unyumba ,simamia huduma kuanzia asilimia 95 hadi 100 kama utanyimwa

6,ugomvi,kuna wanaume wengine kila muda anakugombeza,ukifanya kakosa kadogo anakugombeza na kununa juu kwa nini,usinyimwe unyumba maana na sisi tuna mioyo

7,Shughuli za kiuchumi,yawezekana muda mwingi mwanamke yuko bize sana na utafutaji ,uchovu na mawazo ya hela, hali hii humfanya asiwe na hamu sana na kufanya tendo la ndoa

8,Mwanaume kutaka kila siku mfanye,kuna wanaume wengine wenyewe ni kila siku anataka,inachosha,fanya angalau mara 2 kwa wiki au 3 angalau mnakusanya hisia,sasa wewe kila siku duh

9,Wanaume wengine hawajui kubembeleza, sisi wanawake tunataka kusifiwa na kubembelezwa ili kuona unapendwa,sasa wew mwanaume ukija huna maneno matamu,hunisifii,tukifika kitandani huongei maneno ya kunitamanisha,lazima unyimwe kwa kweli

10,Ulevi,wanaume wengine ni walevi wa kupindukia,wanakunywa kila aina za gongo ,hawapigi mswaki mdomo inanuka ,eti na hao wanataka unyumba ,dah kwa kweli watatusamehe,labda na mkewe awe na yeye anakunywa pombe kama yeye

NB Mbinu za majadiliano huwa zinatumika lakini wanaume huwa ni wabishi na wanadharau
 
Hakuna lolote ni Uchoyo tuu.
 
namba 9:umeeleza yaliyo sahihi,

natamanigi kumwandaa mwanamke dakika nyingi lakin nakuta kama nafanya marudio nahahirisha napanda

kunyoa mavuzi,hii kazi kwangu naionaga ngumu kuliko zote duniani,hv umuhimu wa haya madude ni hasa katika mwili wa binadamu,pia sometimes hata location ya kuyanyoa nakosa
 
Back
Top Bottom