Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mara kwa mara nimekuwa nikitumia pesa kupata true love lakini sijafanikiwa mara nyingi nakutana na makanjanja matapeli na nimeisha kutana mpaka na maibilisi ni wezi mtupu. Sifa nyingi, zielekee...
25 Reactions
154 Replies
8K Views
Habari, Nahitaji rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo; Muislam Apatikane mkoa wa mtwara, wilaya masasi, nanyumbu au mtwara mjini Awe mfupi wakati(150-170cm) Akiwa mmakonde itapendeza zaidi Pesa...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Awe tayari kuanza familia. Umri kuanzia miaka 22 had 39, Mwenye kumpenda Mungu. Elimu yangu ni ya chuo na Nimeajiriwa Dar.
4 Reactions
4 Replies
739 Views
Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 34, muislam, natokea familia ya kawaida sana, elimu yangu ya kawaida sana, ninafanya kazi halali ya kumpendeza Allah. Nahitaji rafiki mwenye hitaji la kuwa...
1 Reactions
2 Replies
674 Views
Habari wakuu... Nimetimiza miaka 9 sasa bila mahusiano na demu.. nimekua napenda kupgwa vibuti, yaan demu asiponikataa cfeel good tena natamani anitemee na shit ndio moyo wang unasuzika. mademu...
6 Reactions
14 Replies
943 Views
Wadau, kutokana na kujiamini kwangu katika suala la mapenzi nimekuwa muumizi mzuri sana wa sera ya "No hongos". Yaani sihongi. Ndiyo sihongi pesa kwa mpenzi hata siku moja. Najiamini kuwa nami...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Alikwama katika harakati zake za hapa na pale, hivyo akaniomba nimpatie elfu thelathini asogezee siku kisha kuahidi kunirudishia siku iliyofuata. Cha ajabu siku iliyofuata akanilia buyu, kisha...
42 Reactions
142 Replies
8K Views
Habari za jumapili natumaini mpo wazima kabisa baada ya ibada sasa ni muda wa kumpa Kaisari yalio yake... Kwanza kabisa nitangulize samahani nikiwa kama mwanachama wa rank ya juu kabisa wa chama...
21 Reactions
52 Replies
3K Views
Wakuu najua mko poa Kama mada isemavyo kwa hiyo nimekuja hapa ili tupeane maujuzi kidogo Kuna binti mmoja nilikutana nae mwezi uliopita nilimkubali sana nikaamua kumtegea mingo na kumtongoza...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Hili suala limetokea tu automatically sielewi shida nini. Najaribu kuvuta hisia za kimapenzi pamoja na kuangalia phonographic video lakini Hola. Nimeona nichukulie kawaida tu kwanza Sina ya...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
Wakuu, kutokana na changamoto za hapa na pale za kimaisha, nimejikuta mtu wa mawazo sana kiasi kwamba ni wiki ya tatu nimekutwa na changamoto hizi: 1. Nimepoteza hisia za kimapenzi, sina hamu na...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wakuu? Kuna issue moja ya jamaa yangu ameniomba ushauri,anasema mara kwa mara anazinguana na mkewe coz ya masuala ya pesa za matumizi ya nyumbani.anasema kwa sasa mkewe ni hana mishe yuko...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Huyu bwana anasherekea miaka 20 ya ndoa yake. Hajawahi mpandishia sauti kumfokea mkewe,hajawahi mpiga na hawajawahi kugombana. Nimemaliza.
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Brethren, NB: Msiniombe reference kwa vile huu ni uchambuzi na maoni binafsi mimi babu yenu kwa kushirikiana na marafiki zangu wa karibu (Hawapo JF), kwa lengo la kupeana tahadhari. Ni hivi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Tuna siku ya 4 hatuonani na hatusemeshani na Mchepuko Wangu mamaJ kajinunisha. sijajihangaisha sana kumbembeleza wala kuyamaliza maana kisa chenyewe hakina KICHWA wala miguu (Kuna Uzi wake...
18 Reactions
113 Replies
14K Views
za usiku huu wakuu, leo tena natupa jiwe angani, naamini kuwa wahitaji kama mimi pia, kama kuna mdada au mmama ambaye yuko free japo tuchat au kuongea usiku huu sio mbaya kwangu namba yangu...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hebu soma kisa hapa chini kwa utafiti wangu hayupo mwanamke ambae hawez danganyika mwanamke ni dhaifu hata awe pastor ndo walivoumbwa There is this man who began chatting with me around October...
12 Reactions
118 Replies
9K Views
Habari wanajf Ndugu zanguni nilipitia mahusiano ambayo yalinipa stress Sana drama zilikuwa haziishi kutokana na hivyo ikanifanya niachane na huyo binti na ikapelekea nijipe break kidogo ya...
29 Reactions
145 Replies
19K Views
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga...
10 Reactions
270 Replies
22K Views
Kuna rafiki yangu leo kashikwa na polisi kapelekwe makahamani kwa kesi ya uongo. Hakika nimeumia saana na ndo nimekuja kugundua kweli sheria zipo kwasababu ya kukandamiza haki za wanaume tu...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom