tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,425
- 4,773
1. Anaficha hisia zake:
Anaweza akakwambia kila kitu, lakini asikwambie jinsi siku yake ilivyokuwa, hapo kuna uwezekano mkubwa huwa anamweleza mwanaume mwingine. Kama hakuambii kuhusu masahibu yanayomuudhi, furaha zake na huzuni, una sababu ya kuwa na hasira.
2. Hayuko wazi:
Tuwe wakweli, wanawake wako wazi zaidi ya wanaume. Lakini ukikuta mwanamke katulia kama mtungi na mara chache anachukizwa na wewe, uwe na hofu asije akawa mahusiano ya kimwili au emotional na mwanaume mwingine.
3. Anaficha au kufunika simu au kutoa mlio wa sauti muda wote:
Mtu huyu ukimuuliza, atakwambia kwani yako ninashikaga? Atadai watu wanaopendana wanaaminiana. Wasiopendana hawaaminiani.
4. Hazungumzii mengi ya makusanyiko ya watu alipoenda:
Labda anapenda kwenda sana harusinu, akikuacha wewe, hatokueleza kilichotokea huko maana labda kuna mtu anaongozana naye, au anakuwa amepata muda wa kuwa na mawasiliano na huyo ampendaye.
5. Huwa hawi na 'mudi':
kama katika mahusiano yenu wewe ndio umekuwa waanza kuomba tendo la ndoa mara zote ujue umeliwa. Kama hukumbuki lini mlifanya mapenzi na wala yeye hajali una haki kuwa na wasiwasi naye.Mwanamke anapokuwa amepunguza hamu ya tendo la ndoa au kuonana ana kwa ana ujue mapenzi yake yapo sehemu nyingine.
6. Ghafla kabadiri mwonekano wa nje: Japo ni kitu cha kawaida kujipamba kimavazi, nywele, viatu n.k. Lakini kuna mabadiriko yasiyo ya kawaida ambayo yanaweza yakawa dalili za yeye kuanzisha mahusiano mapya.
7. Anadhani hujiamini: Mwanamke akiwa na hisia za wewe kutojiamini una haki ya kuwa na shaka kwamba ana mahusiano na mwanaume mwingine.
8. Hajali matokeo ya kile anachojibu:
Mwanamke ambaye ana majibu yasiyo ya kuridhisha na mafupi mara nyingi anaonesha kutojali. Hisia zake zinaweza zikawa sehemu nyingine. Mfano anakujibu amini utakalo.
9. Hataki um follow kwenye social media kama facebook, Instagram, Twitter: Maana kuna vitu anaficha.
10. Anashinda Whatsapp au Viber huku aki ignore text zako. Na ama anatuma sana sms kwenda kusikifahamika hata mkiwa pamoja.