msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 298
- 381
AFRIKA ndo bara ambao wanaume wanakaa kwa kuwatukuza sana wanawake
Kivipi?
Utakuta mtu anapambana na mavumbi ya kongo ili mpenzi wake aridhike na akitoka hapo bado anatoa hela wakati raha wanapata wote what a damn
Unakuta kijana anaweka hela ili ampe mpenzi wake wakati yeye hajawahi pewa hata boxer
Unakuta kijana ananunua simu za bei kali ili kujaribu kumvutia mwanamke
Unakuta mwanaume anahonga gari , nyumba , mihela wakati yeye hua anapewa boksa tuu.
Ni mengi sana mnawafanyia na kujitesa lakini mwishoe mnasalitiwa
Nimekaa ufaransa kwa miaka 19 ila sijawahi ona wanaume wa huku wanafanya huo ujinga
Huu ni muda wa AFRIKA na watu wake kujitambua
Jua kua mnavyo watukuza sana ndo mnawafanya waringe wewe jaribu kushika yako uone kama kuna mdada atakuringia