Waungwana, nahitaji mke wa pili

Waungwana, nahitaji mke wa pili

Kwema humu?
Nawasilisha hitaji la mke wa pili kama ambavyo nilimpata wa kwanza humu.

Umri wake usizidi miaka 32.
Kwa mwenye utayari tunaweza kuwasiliana kupitia PM.
Wakija wengi nipasie na Mimi mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom