Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga...
10 Reactions
270 Replies
22K Views
Kuna rafiki yangu leo kashikwa na polisi kapelekwe makahamani kwa kesi ya uongo. Hakika nimeumia saana na ndo nimekuja kugundua kweli sheria zipo kwasababu ya kukandamiza haki za wanaume tu...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Nina miaka 26, Mweusi. Mrefu kiasi. Nahitaji rafiki wa kiume (kaka). umri 28-32. Elimu yake -Awe amesomea Afya. Pia awe mweusi na mrefu. Awe mcheshi na mcha Mungu. Awe hajaoa. Mwenye sifa Ani PM
2 Reactions
90 Replies
8K Views
Kwema wakuu, Nianze kwa kusalimia wanaume wenzangu wote mliooa. Shikamooni! Taikon wikiendi nilitembelewa na hsemeji yenu. Safari hii akaniambia kuwa amekuja moja kwa moja, yaani anataka tufanye...
16 Reactions
52 Replies
4K Views
Wanaume ebu changamkeni, haiwezekani wewe utumie simu Kali mpenzi wako awe na simu ya button. Je, wewe mwanaume Ni simu gani Kali ya smartphone ushawai mnunulia mpenzi wako
6 Reactions
64 Replies
5K Views
Naomba nijibiwe kwa hekima kidogo. Ni binti naweza sema ni mchumba wangu japo kwetu hajulikani, yeye anakaa na mama yake ni mtumishi. Tunafahamiana na mama yake tu hatujawahi kuonana japo jambo...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Binafsi naona siyo sawa kwa Mwanamke aliyeolewa kuwa na rafiki ambaye hajaolewa, vile vile kwa Mwanaume ambaye ameshaoa kuwa na rafiki “muhuni” ambaye bado yuko single, ni vizuri wenye ndoa...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Mahusiano mengi yamekuwa ndio chanzo, cha kuwafanya wanaume wengi kuendelea kuwa masikini. Wanaume wanakuwa wanaingia gharama kubwa, ili kuweza kumridhisha mwanamke, iwe kumjengea nyumba...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu salama? Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina rafiki yangu wa kike(sio kimapenzi), kiukweli tumeshibana sana. Tuna-share vitu vingi in common(hasa gambe). Kwa kifupi lake langu...
10 Reactions
86 Replies
4K Views
Sana sana kwa wamama ambao wanalea peke yao watoto wa kiume Imefikia stage niseme tu kwamba baadhi ya wamama wanaolea watoto wao wa kiume hawana tofauti na mama kondoo anealea mtoto simba kwa...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni watoto wa baba mmoja ila mama tofauti, yeye ni kutoka kwa mama ambaye ni mke mkubwa wa baba yangu. Na mimi ni mtoto wa mke mdogo. Tunazidiana miezi miwili Lakini ni miezi miwili sasa dada...
11 Reactions
79 Replies
6K Views
Katika MAHUSIANO tunayoanzisha yapo yakweli na yauongo baina ya pande zote mbili Yani MAPENZI yanakuwa na maslahi ya upande mmoja Yani kwa ufupi tunaweza kusema ni utapeli wa MAPENZI. Baadhi ya...
5 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wakuu Me kiukweli nadhani sitaoa maana niko sensitive mno. Imagine kitendo cha huyu shingo kukejeli dedication yangu ya huu wimbo nlomtumia, nimehairisha mipango yote juu yake maana...
14 Reactions
173 Replies
10K Views
Zamani suala la kuoa lilikuwa miongoni mwa suala la muhimu sana katika maisha ya mwanaume.. pamoja na kwamba mwanaume hufanya mipango na projections za maisha yake lakini hakuna swala lililokuwa...
83 Reactions
653 Replies
55K Views
Mwalimu : Wengi wenu mna dhana potofu kwamba ukioa mwalimu mpo in safe side. Hawa watu akili zao zimelala fofofo. Mtu anayeridhirika na ujira wa laki 3 kwa mwezi kwa kutoa sadaka siku zake 30 kwa...
37 Reactions
516 Replies
59K Views
Ukisikia kufa kwa nyani ndo huku. Huwa ananiita "Mume wangu", binafsi huwa nachukulia ni utani. Juzi kafunguka kuwa ananipenda. Hakika dunia imekwisha. Ana ujauzito wa miezi saba na ni mkubwa tu...
6 Reactions
64 Replies
5K Views
Kuwaoa hawa wanawake waliomaliza vyuo katika taaluma mbali mbali kunaweza kuleta mabadiliko ndani ya ndoa mda wowote ikija tokea wameomba kazi hasa hizi za serikalini na wakaitwa rasmi waanze...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu Jf. Leo asubuhi Mida ya saa Moja asubuhi nilimpa lifti msichana mrembo maeneo ya Kimange mbwewe. Mimi naelekea Muheza Tanga natoka Moro yeye kaniambia anakwenda Kabuku Handeni Tanga...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimesoma na kusikiliza maoni mbalimbali kuhusu nachoweza kuita kutowajibika kwa malezi kwa baba yake Ommy kwa mwanae. Hapa nitaeleza mkasa unaonihusu mimi wa kutowajibika kulea mtoto wangu...
13 Reactions
42 Replies
3K Views
Unachohitaji kujua: Kinachosababisha mapenzi/mahusiano kufa wala sio mambo makubwa sana bali ni usimamizi mbaya wa kila siku wa mambo madogo madogo ya maisha. Hayo mambo unayoyaona kuwa madogo...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…