Habari zenu Jf.
Leo asubuhi Mida ya saa Moja asubuhi nilimpa lifti msichana mrembo maeneo ya Kimange mbwewe.
Mimi naelekea Muheza Tanga natoka Moro yeye kaniambia anakwenda Kabuku Handeni Tanga.
Tulipofika Mkata nikamwambia nataka kunywa chai tukashuka wote wakati tunakunywa chai ananiangalia sana usoni mpaka nashangaa lakini ni pisi balaa.
Tukaendelea na safari tulipofika Kabuku nikamuuliza unashukia wapi akasema eti nimfikishe segera.Tumefika segera kalegea anasema kachoka huku anarembua.
Ushauri wenu jamani maana naona moyo unaenda mbio blood circulation ipo kasi due to lemon soup niliokunywa ikiambatana na huyu mrembo nifanyaje tupo wawili tu?