Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,205
3,009
Hope mko poa,

Naomba kuuliza swali dogo, hivi ushawahi kurudiana na ex wako, halafu penzi likanoga Kama zamani.

Two years ago, nilkuwa kwenye penzi zito Sana na mdada mmoja, yaani nilimpenda nae akanipenda kweli, basi tulikula maisha kwa furaha ya hali ya juu.

Baada ya muda tuliachana, japo mawasiliano ya kujuliana hali yalikuwepo, Sasa bi dada this year anaomba turudiane, nikikumbuka moments za nyuma natamani turudiane, Ila nahofia sitompenda Kama zamani.

Wakuu kwa walioweza kurudiana na ma ex wenu mliwezaje, na je penzi lenu lilinoga?
 
Huchukui round mtaitana Tena maex

Kuna mahusiano nilipitia niliumizwa Sana na yule dada nilihisi hadi kudata

Alikuwa wa kunizingua na kunirudia Mara kwa Mara ilikuwa ndo tabia coz nilikuwa nampenda Sana na alijua Kama nampenda

Cha kuzingatia kwenye mahusiano yanayofufuliwa acha yeye ndo apiganie penzi/mapenzi yenu

Ucmpe mda wako Kam zaman ata utakuw na nyege sometime jfanye upo busy

Mpe mda usitoe ushirikiano wa kutosha Kam mwanzo Kam kwel atakuw na Nia atavumlia na atakupigania ili auwin moyo wko

Sasa jfanye kiherehere utajuta maana uyo manzi unaonekana unampenda
 
Huchukui round mtaitana Tena maex
Kuna mahusiano nilipitia niliumizwa Sana na yule dada nilihis Hadi kudata

Alikuwa wa kunizingua na kunirudia Mara kwa Mara ilikuw ndo tabia coz nlkuwa nampenda Sana na alijua Kama nampenda

Cha kuzingatia kwenye mahusiano yanayofufuliwa acha yeye ndo apiganie penzi/mapenzi yenu

Ucmpe mda wako Kam zaman ata utakuw na nyege sometime jfanye upo busy

Mpe mda usitoe ushirikiano wa kutosha Kam mwanzo Kam kwel atakuw na Nia atavumlia na atakupigania ili auwin moyo wko
Sasa jfanye kiherehere utajuta maana uyo manzi unaonekana unampenda
Kabisa ni kupiga kimya shobo hamna
 
Back
Top Bottom