knows
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,453
- 2,238
Habari wanajamii,
Naimani wote niwazima mungu nimwema anaendelea kutupigania.
Niende moja kwa moja kwenye jambo husika. Kiukweli niko kwenye njia Panda sielewi nifanyeje. Niko kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hivi kiukweli tunapenda sana lakini tulipo ngia kwenye mahusiano hakuna kitu nilikua najua lakini alikuja kunieleza ukweli kuwa ana mtoto mwanzo sikujua nayeye hakutaka kunificha akaamua kunieleza ukweli. Nikahitaji kujua kiundani zaid ilikuaje
Kweli alikuja kukaa na mimi na kuanza kunieleza ukweli kuwa alikuwa na mahusiano na jamaa akaja kupata ujauzito then baada ya kujifungua yule jamaa ikabidi amueleze ukweli kumbe jamaa alikuwa na mke na watoto wa2 na jamaa hakai Tz anakaa nje ya nchi na familia yake so ikabdi jamaa amueleze ukweli huyu mwanamke baada ya hapo ndo ikatoka conflict kati ya jamaa na mwanamke pamoja na wazazi wa mwanamke na kupepelekea kuachana na jamaa akaamua kuondoka kuludi nje anakokaa coz huyu mwanamke alimwambia jamaa sahau kama una mtoto na mimi.
Bas mwanamke akaanza kumlea mtoto mpaka now mwenyew na mpaka nilipokutana nae na kujikuta tumeingia kwenye mahusiano.
Kiukweli tushafanya mengi na tuna malengo mengi now nataka kumuoa kabsa lakini hofu yangu juu ya kumuoa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume naogopa coz changamoto huwa ni nyingi sana na je? Nawaza jamaa siku akija kurudi tena yaani sielewi mambo nimengi kiukweli.
Naomba mnishauri nduguzangu ilinijue nafanyaje kabla sijaingia kwenye matatizo hapo baadae na changamoto za kuoa single mother.
Kwenu wakuu nasubili ushauri wenu..