Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kisa hiki kitakuwa na episode 2 tu ili nisichoshe wasomaji. Kisa cha kweli ambacho huwa nakumbuka kinaniuma sana nilishaapa sitorudia tena,nikikumbuka yaliyotokea naamini kabisa wanawake wakipenda...
21 Reactions
194 Replies
31K Views
Habari wakuu? Nimekuwa na mahusiano mengi na warembo mbalimbali, kipindi cha huko nyuma; na ikapelekea wawili kuwa na watoto na mmoja ni mjamzito. Changamoto iliyopo; kwa sasa nataka nibaki njia...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Dogo ana mchepuko wake amenizoea mpaka mtaani kwao wanajua mi ndiyo namvua chupi. Maana asiponiona anamnunia mpaka bwana wake ambae ni mdogo wangu. Shida imekuja nilimdanganya na ameamini kwamba...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mazungumzo kati ya Mume na Mwanasaikolojia : P: Unafanya kazi gani Bwana Bony? H: Ninafanya kazi kama Mhasibu katika Benki. P: Mke wako? H: Hafanyi kazi, ni mama wa nyumbani tu. P: Nani...
16 Reactions
28 Replies
3K Views
Dah yani binafsi huwa nashindwa kuelewa inakuwaje kuwaje hadi wewe mwanamke unaamua kumuomba mwanaume hela ya Pedi. Though sijaona mengi duniani ila toka nizaliwe sijawahi kuwa kwenye mahusiano...
1 Reactions
61 Replies
3K Views
Ilikua ni siku tulivu tu Kama siku nyingine, basi shetani nae alikua kazini Kama kawaida yake. Kifupi mke wangu huyu hana tabia kabisa ya kushika simu yangu hadi majuzi alipo ingiwa na tamaa za...
5 Reactions
64 Replies
7K Views
Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki. Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji...
29 Reactions
106 Replies
6K Views
Salam wanajamvi. Katika Siku za karibuni kumeibua wimbi kubwa la wanawake kutafuta ndoa ukianzia Misikitini, Kanisani, mtandaoni na kila sehemu utakuta wanaweka matangozo ya kutafuta waume mbaya...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Bwana bwana nimepita nyumba moja hivi, yenye singo mama aisee Yule mtoto sijui kakosea nini? Mmama anatukana mtoto wake huyo utafikiri yupo Kilabuni kalewa ngerenge mixa na chibuku na katika hayo...
1 Reactions
6 Replies
578 Views
Wakuu hamjambo? Aisee nina mke wangu wakati tumeanza mahusiano mpaka namuoa tulikuwa tunapiga game matata sana mpaka alikuwa anaomba kabisa mpaka anapata ujauzito ndo acha kbs kipindi cha ujauzto...
0 Reactions
11 Replies
870 Views
HUYU NDIYE MWANAMKE HALISI WA KUOA 1. Mpenzi wako akija kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe.... 2. Ukienda nae hotelini akaamua kuagiza ugali dagaa na...
10 Reactions
56 Replies
4K Views
Wengi katika mahusiano, huanza kwa kupeana namba za simu, na baadaye kuanza kuwasiliana, na hatimaye kuelewana katika mahusiano wanayotaka kuyaanzisha. Wakati mwingine kupewa namba ya simu...
7 Reactions
57 Replies
4K Views
...
1 Reactions
5 Replies
880 Views
Jamani samahani kwa wale wote mlionitafute kwa Uzi ule wa "NATAFUTA MKE MWENYE MTOTO".
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, sijawahi kuoa nipo Dar, dini mkristo. Bado natafuta mwenza wa kike umri miaka 28-32, awe anajishughulisha, awe mkristo, awe anakaa Dar. Aliye tayari...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jina: Tumaini Umri; 31 Makazi: Mwanza Dini: Mkristo Kazi: Wizara ya mambo ya ndani. Natafuta mke miaka 25-30 awe Mwanza...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Punde baada ya uhuru ilianza kuvaa suruali na nguo za kubana. Ikaja kuva nguo fupi ikawa ndio fashion kwa asilimia kubwa ya wanawake wanavaa hivyo Ikaja kujichubua asilimia kubwa wakaingia...
4 Reactions
63 Replies
4K Views
Pinned post....ilindwe
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Za saizi waheshimiwa Wife ni mwalimu wa primary, amepata kazi ya kuwa karani wa sensa. Sasa toka zoezi lianze naona kuna jamaa wanawasiliana mara kwa mara, kwenye simu nimeona amemsave Peter...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Mimi ni mke Nipo Arusha Mfanya biashara Umri 26 Mweupe, urefu wastani, umbo la mwanamke wa ki-Tanzania Namuamini Mungu Natafuta mwanaume wa vigezo Mwanaume atakaekuwa rafki, mpnz na mume kwang...
19 Reactions
118 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…