Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu na nimeajiriwa serikalini, si mrefu, si mfupi, nina kama cm 168. Naitaji mke mwenye elimu na aliyeajiriwa serikalini au...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Naomba tujulishane jinsi gani naweza kuishi na mwanamke mkorofi na mbishi bila kumshushia makonde, yani nilisha apa kwamba sitokuja kumpiga mwanamke lakini kinachoendelea hapa...
13 Reactions
239 Replies
35K Views
Mwanamke yoyote ukishaolewa ,jua mtaji wako kwenye ndoa ni uke wako, Utoe watoto ,na umburudishe mzee kila siku Kwaiyo jitahidi sana kuwekeza kwenye k Unawekezaje kwenye uke?? Solution ni moja tu...
11 Reactions
47 Replies
4K Views
Salaam wana JF. Awali ya yote, niseme kwamba, Raha ya Mechi ni ule udambwidambi, vyenga vya kutosha na Magoli ya kiufundi. Binafsi, Uzoefu wangu ktk tendo la ndoa, goli la kwanza huwa...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Mimi nimefurahi Kwa sababu nimepata marafiki humu wa kweli. Ndio najivunia Kwa Raha zangu kweli kwasababu kuongeza wanafiki ni Raha sana unajifunza sana maarifa mapya . Sijui kwenu mnajivunia...
1 Reactions
17 Replies
551 Views
Bi Mercy Banda amepewa talaka yake na mahakama baada ya kumburuza mumewe Chipo Lukena kortini akimdai talaka kutokana na kukithiri uzinzi. Bi. Lucy katika madai yake ametolea mfano mumewe...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi umeshawahi kufanya uchunguzi kuhusu hili? Kwanini wanaume wengi wafupi ndo wanadamu zaidi kwenye ndoa zao kuliko warefu? Unafikiri nini sababu hasa
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Dear sasa wanaume, mnachosha! Nilifanya mahojiano mahali ila ilikuwa ni ya binafsi, sema wanahusika na serikali kamshahara kalikuwa kanono kweli. Swali la kwanza umeolewa hapana, kwa hiyo...
11 Reactions
71 Replies
5K Views
Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu. Mwanamke akiwa mchawi anakuwa mchawi wa kutisha. Mwanamke...
23 Reactions
102 Replies
6K Views
Jamani jamani jamani Huwa nafatilia cucumber prank pale mjini youtube, ambapo mwanaume anafake kwa kuweka tango kwenye suruali yake na kufanya maumbile yake kuonekana makubwa. Cha kushangaza...
9 Reactions
115 Replies
26K Views
Buheri mazee Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani...
20 Reactions
226 Replies
19K Views
Katika pita pita na hawa watu wa jinsi ya upande wa pili yaani wanawake, warembo, vigori, mademu ati wanaita kuna hali flani hivi ya kweli...ni kuwa Unapomtongoza mrembo ambaye humvutii kabisa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Moja ya vitu vinavyonikwaza linapokuja suala la ndoa ni mahari. Ni kama nywele za kichwa, zipo hapo siku zote lakini zipo kwa ajili ya kazi gani hujui. Mahari ipo miaka nenda rudi kama mila au...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada bila Salam. Nilipoanza mahusiano na huyu mke wangu nilikuwa nampelekea moto hatari, goli 3, 4, ila sasa ilikua ni siku za mwanzo mwanzo. Huyu mke wangu akaanza kuwa...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Ni mwanamke wa kihaya. Anaonekana kunipenda Kwa status yangu, ila Hana dalili ya kutoa mzigo Kwa kuwa Hana anaonekana Hana really love kwangu. Huyu nimfanye nini wakuu. Japo bado Nampa kampan...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wengi wanajiuliza nitamjuaje mwanaume au mwanamke ambaye ni chaguo langu au mtu sahii kwenye maisha yangu? Ni simple saana Ni hivi kwanza uliza moyo wako una penda mwanaume wa aina gani au...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Wiki iliyopita, nilipata mwaliko kutoka kwa mpenzi wangu (mchepuko), kuwa ananihitaji, niende nikamchangamshe. Baada ya kunishawishi sana kwa maneno matamu, nikaona bora niende nikamtimizie haja...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Huyu binti ni miezi kama miwili naomba nipate naye japo nafasi ndogo. Nikamshawishi Jumamosi tukaenda Bagamoyo. Aliniambia kabisa tunaenda ili niondoe wazo la kumla. Alinipa angalizo hilo...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Nipo Coco beach now nimepitia hapa kupunga upepo kwani niliumiss flan hivi. Kulia kwangu kuna Akina dada wanapanda farasi huku wanapiga picha kuweka kumbukumbu,nyuma kidogo kuna wamasai ambao...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom