Nimeamini mwanaume kuchepuka hakukwepeki, rasmi natafuta mpango wa kando wa kunipoza

Shozylin

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
297
607
Moja kwa moja kwenye mada bila Salam.

Nilipoanza mahusiano na huyu mke wangu nilikuwa nampelekea moto hatari, goli 3, 4, ila sasa ilikua ni siku za mwanzo mwanzo.

Huyu mke wangu akaanza kuwa ananikwepa, nikisha mkojoza hataki tena au ananidanganya tupumzike halafu baadaye tutafanya kumbe yeye kashachoka, na mimi napitiwa usingizi nalala naamka asubuhi napiga "Morning glory" japo siyo kila siku.

Kwahiyo nikaanza kuzoea mazingira ya kupiga bao moja nalala, nikitegemea napumzika kwa mdua nije nijipgie tena, nikilala ni mpaka asubuhi.

Nikamwambia mke kuwa ananipeleza sishibi, mke akasema huwa anachoka sana, nikasema poa kwahiyo ikawa kawaida yetu. Kikubwa yeye afike kunako utamu hata hiyo mara moja tu.

Kwahiyo niligundua mke siyo aina ya wale wanawake wanao penda kutromb*na sana ila nimevumilia na nimefanikiwa kuendaana hayo mazingira japo kwa mbinde.

Sababu ya kuja hapa ni hii;

Mke ni mjamzito, sasa sijui hii mimba imenichukia au niaje? Kwanza anaumwa tumbo, nilimpeleka hospitali kuchunguzwa hakua na tatizo lolote. Ila nikakutana na wakunga wazoezi wakaniambia kwa mimba ndogo ni kawaida tumbo kuuma maana unakuta mwili haukuzoea kwahiyo upo kwenye mabadiriko. Halafu pia nyonga zinatanuka sababu ya tumbo kukua kwaio zikiwa zinatanuka ndo anakua anahisi maumivu.

Mke bana kaninunia hataki nimshike usiku anadai tumbo linamuuma, zamani alikuwa hataki nitoke kuangalia mpira usiku ila sasa hivi nikimuaga naenda kwa mpira anakwambia we nenda tu hata ulale huko mimi sina shida.

Yaan naweza kata wiki nzima sijapiga mbususu, kweli? Haya ni mateso. Nikama vile hata mpango kabisa wa kunyanduana, yaani dah! Najitahid kumvumilia kwamba atabadilika lakini sioni.

Pengine nawaza huyu kanichukia, lakini siku hizi anaweza kuja kazini kwangu kama yupo na muda akakaa na mimi mpaka muda wa kufunga duka ndiyo tunarudi nyumbani. Zamani haikuwa hivyo.

Aaah! Wanawake mkiwa na mimba msitunyanyase kiasi hicho bwana, mnatufanya tuwaze kutafuta michepuko.

Binafsi niliazimia kutulia maana rafu zilikuwa nyingi, ila sasa naona ni kama kaniambia kuwa hii ndiyo nafasi yangu ya kubutua mbususu za nje.

Nakaaje wiki nzima bila kutafuta kitu laini halafu yeye hata hawazi?
 
 
Pole mkuu, wanawake wajawazito wanakuwa watamu na libido lipo juu sana...

Naona jinsi unavyolikosa lile joto...
 
Back
Top Bottom