Hivi unajua wanaume wafupi ndo wanadamu kwenye ndoa zao zaidi kuliko warefu?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Hivi umeshawahi kufanya uchunguzi kuhusu hili?
Kwanini wanaume wengi wafupi ndo wanadamu zaidi kwenye ndoa zao kuliko warefu?

Unafikiri nini sababu hasa
 
Screenshot_20221118-131840_WhatsAppBusiness.jpg
 
Wanaume wafupi kwenda juu au hawa wa kwenda chini?

Ingesaidia kama mtoa mada ungesema sababu za kusema wanaume wafupi wanamudu ndoa zao, na pia useme iwapo warefu wanamudu na iwapo hawamudu ni kwanini
 
Hahahaa hivi ukisema mtu mfupi unamaanisha urefu gani? Mimi kimo changu ni 180 cm yaani 5' 10" kuna maeneo naonekana mrefu nikienda maeneo mengine naonekana mbilikimo.
 
Nimesoma mara tatu sielewi "..ndo wanadamu zaidi kwenye ndoa" ina maana sisi warefu kwenye ndoa tunakuwa nusu binadamu au .
 
Back
Top Bottom