Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Watu wengi leo tumebaki na tunajiuliza kwanini wimbi la kuvunjika kwa ndoa linakua kwa kasi sana mashauri Mahakamani kuhusu taraka yamekuwa Mengi kiasi kwamba yanataka kuzidi Mashauri ya kesi za...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Iwapo mwanamke anaonyesha dalili za kukutongoza ambazo umependezwa nazo, haitakua jambo zuri kwako kama utapuuza swala hili kwa kufanya matendo yasiyotakikana. Baadhi ya wanaume wengine wanaweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume Sifa zangu Umri miaka 28 nipo mbeya Elimu degree Mtumishi wa umma Mrefu Maji ya kunde Naitaji mwenza wa kuwa nae kimahusiano na baadae awe mke wangu wa ndoa Sifa za...
1 Reactions
6 Replies
757 Views
Habari za MDA huu wakuu, Pornhub Ni mtandao tanzu duniani unakuosanya taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya mijadala,mihadhara ,video na picha mbalimbali zinazohusu ngono kutoka vyanzo mbalimbali...
11 Reactions
117 Replies
15K Views
Ni mara ya kwanza nakuja jukwaani hapa kutafuta mwenza. Litakuwa jambo jema kama nitampata mwenye kunififkiria na kuruhusu tuishi pamoja. Kabla ya kuweka vigezo, naomba nieleze machache hapa...
0 Reactions
7 Replies
974 Views
Mwanaume nchini Ujerumani amemshtaki jirani yake baada ya kushindwa kumpa ujauzito mke wake. Dmetrius alimlipa jirani yake huyo kufanya ngono na mkewe ili apate ujauzito baada ya yeye kushindwa...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Date: 1/5/2010 Daniel Mjema,Moshi MSHEREHESHAJI maarufu katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, Willy Lema alifariki akiwa anafanya mapenzi na mwanamke ambaye ni mke wa mkazi mmoja wa Nzega...
2 Reactions
387 Replies
49K Views
Wasalaaaam wazee wa kazi.... Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati... Kuna kabinti nilikapa mimba sasa ni miezi minne imepita tuko mkoa mmoja ila maeneo tofauti tena kwa umbali wa kupanda gari...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu poleni na shughuli, Niende moja kwa moja kwenye mada mwaka jana mwishoni baada ya kushindwa kuvumilia visa na dharau kwa aliyekuwa mke wangu pamoja na vikao vingi vya...
23 Reactions
23 Replies
2K Views
1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect). 2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua...
58 Reactions
489 Replies
24K Views
Naishi na wanangu wawili na mama yao,Wazazi wote ni wafanyakazi na Watoto wote ni wanafunzi wa umri wa miaka 7 na 12. Tunatoka wote asubuh sana na kurejea usiku na wa kwanza kurudi ni watoto...
1 Reactions
64 Replies
3K Views
Ukiona Umefika lle Hatua Ya Kuwa na Ujasiri Wa Kuukubali UKWELI Kwamba "Huyu Hanitaki", "Huyu Hanipendi" Huyu Hanihitaji" "Kwake sina Thamani" na "Amenichoka" Basi Ujue Umekomaa Kihisia. Nenda...
1 Reactions
5 Replies
527 Views
Jana nilipata laki 5 ambayo haikuwa kwenye bajeti. Nikasema vyovyote iwavyo namtumia maza laki 3 azibe magepu ya Januari. Sasa kuna mtoto mmoja nilimpa namba hakuwahi kunipigia. Nilivyopata tu...
4 Reactions
6 Replies
929 Views
Habari wana jamii. Huwa nashindwa kuelewa kwanini unakubali kupigwa picha za utupu na mpenzi wako wakati wa kufanya ngono. Je, hufikirii kuwa mkiachana yaweza kuwa kama ndo fimbo ya kukuchapia...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake kulalamikiwa humu JamiiForums kutokana na matatizo yao lakini nawaambia pia Kuna wanaume nao wana mapungufu yao Kwa namna Moja au nyingine ambayo ni kero Kwa...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Yaani kama umepata nafasi ya kusoma basi soma na utimize Malengo yako ndoa Achana nayo Kama Una mipango ya kujenga basi Jenga ndoa Achana nayo Kama Una mipango yako kufungua biashara basi fungua...
18 Reactions
38 Replies
2K Views
Hayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu. Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti...
11 Reactions
175 Replies
8K Views
Hellow Mimi mpaka leo sijuwagi kwanini washikaji wanakataa mimba za mademu zao ilihali wao ndio wahusika Ujue kuna vitu unatakiwa ujiepushe navyo kwenye lile tendo mfano hutaki kuzaa na huyo...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Katika maisha yangu, nimewahi penda kwa dhati mara moja tu, mitihani ya maisha na mikosi kwa miaka 3 ikaniandama, kwa kiasi fulani kuna sehemu ilibidi nitumie uongo kuweka mambo sawa. Leo...
11 Reactions
53 Replies
4K Views
Mwambieni mwambieni , Mali yake ishaliwa oh apunguze kampeni Jimbo lishachukuliwa .
3 Reactions
100 Replies
5K Views
Back
Top Bottom