Wakanda27
Member
- May 23, 2020
- 40
- 509
Rejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.
Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni mipango ya Mungu so bado tunapambana. Sasa changamoto iliokuepo hapa ni swala la mchepuko. Nina mchepuko wangu huyu wa miaka kama 4 hivi. Kila nikimuacha kwa namna mmoja au nyingine namrudia.
Sasa majuzi tumegombana baada ya kugundua kaanzisha mahusiano na mtu na kuanza kutoka nae kisirisiri. Makubaliano yetu kwa vile mimi mkristo siwezi oa mke wa pili ila yeye nitamtunza kwa kadri niwezavyo. Sasa kimeniuma sana kuja kupata taarifa kuna mhuni anaseleleka tu. So nikaamua kumuacha kabisa nakusema nampotezea.
Changamoto aisee imekuwa kubwa sana kumsahau huyu dada, kila nikikaa nawaza usikute wananyanduana na jamaa kwenye kitanda nilichonunua mimi napata hasira za ajabu. Ni week sasa siwasiliani nae ila moyo unakuwa unauma sana. Ndio maana nahisi ameniroga sio bure.
Maana kwao ni wale wazaramo. Nisaidieni najitoaje kwenye hii hali maana inapunguza ufanisi wangu wa kazi na mke wangu anauliza mbona ninakuwa na mawazo mazito sana.