Mpe pesa Mpe pesaaa mpee pesaaaaa atatulia kama kuku mwenye mdondoHello.
Maisha ni uwekezaji, Turudi kwa mapenzi,umewekeza kitu gani kwenye mapenzi ambacho unadhani kinaweza kukuletea faida.
Maana uwekezaji unaenda mojamoja na matokeo chanya na hasi.
Mpe pesa Mpe pesaaa mpee pesaaaaa atatulia kama kuku mwenye mdondo
Ndugu yangu pesa sabuni ya roho, Shauri yakoWewe wako tangu uanze kumpa ametulia?
Hello.
Maisha ni uwekezaji, Turudi kwa mapenzi,umewekeza kitu gani kwenye mapenzi ambacho unadhani kinaweza kukuletea faida.
Maana uwekezaji unaenda mojamoja na matokeo chanya na hasi.
Ndugu yangu pesa sabuni ya roho, Shauri yako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe nitoe wapi nina aftatu tuu[emoji23][emoji23][emoji23] najua wewe pesa sio shida zako hila bora uwekeze shambani sio kwa mapenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe nitoe wapi nina aftatu tuu