Mke wa rafiki yangu nimempenda sana, vipi wahuni nimlambe?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,837
Alioa 2021 nilikuwa mwenyekiti wa kamati kwenye harusi yao lakini pia nilishiriki kupeleka posa kama mshenga. Mtoto ni mzuri sana kwao ni Singida japo born town wa jiji la dar Es salaam, singida ni kabila tu wazazi walitoka huko ila yeye kazaliwa mwananyamala kasoma mwananyamala wanaishi mwananyamala mpaka sasa na mme wake.

Ni mcheshi sana ananipenda sana kupita maelekezo, nikiendaga lazima nipikiwe Wali nazi na samaki tasi juice ya embe baridiii kitu ambacho huwa nahisi anatengeneza mazingira.

Sasa iko hiv rafiki yangu ambae tumesoma pamoja shule ya msingi na sekondari aliowa huyu demu ila kiukweli kabla yake hata mimi nilifukuzia sema nikaishia mitini. Juzi rafiki yangu kasafiri ameenda kwenye msiba kwao kwahiyo goma lipo pekee ake uzuri wamepanga chumba cha nje kwahiyo hata nikienda usiku wa manane ananifungulia mlango namshona nafunga zipu nasepa.

Nimeanza kuchat tangu jana Naomba asali inaonekana amelegea baada ya kutuma meseji hii "JAMANI SIO KWAMBA NAKUKATALIA SHIDA MAJIRANI WA HAPA WANOKO WAKIONA WATAMWAMBIA MME WANGU AKIRUDI"..mwisho wa nukuu, nikamjibu basi nitakuja saa saba usiku, akasema tutaongea kesho ambayo ndio leo.

Tuombe Mungu nikimpata nahisi roho yangu itasuuzika na kuwa nyeupe.
 
Mtafune, usimuache.

Mkeo na marafiki zake ama vitu vyote anavyomiliki ikiwemo marafiki zake ni mali yako, ni halali yako kuwala.

Mkeo ni mali yako, unammiliki wewe, umepewa haki zote kisheria kummiliki hivyo na vitu vyake vyote anavyomiliki ni vyako hivyo marafiki wa mke wako ni halali yako.

Mkeo, marafiki zake, wadogozake wa kike ama dada zake ni halali yako. Ni uamuzi wako kuwala ama kuwaacha.
 
Back
Top Bottom