Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
Ni sikitiko la nchi kila mmoja wenu anadai anamtaka anayedate naye awe Tall, Black and Handsome pasipo kujali vitu vya maana kama Ucha Mungu, Heshima, Upendo, Kuwajibik , Uvumilivu.
Tafiti zinaonyesha kwamba kutokana na upotofu wa kifikra Kwa wanawake wa kuangalia mwanaume Tall, Black and Handsome wengi wao wamewaalika majangili katika maisha yao. Mwanzoni waliwaona kama Lulu hao wanaume pasipo kuchunguza mapungufu yao kumbe ni maharamia waliovalia ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu.
Mwisho wa siku ni mkong'oto wanaupokea. Wanalia na kusaga meno katika ndoa zao. Mwishoni wanakuja na nyuzi za kutulaumu humu wanaume wa JF. Mkomae, mlidhani mkipata Tall, Black and Handsome mmeumaliza mwendo na kuwatupa wanaume wasio na vigezo hivyo, oneni sasa! Nimalizie tu kusema "Don't Judge a Book by its Cover".
Msipanic. We are just here to have fun.