Utofauti kati ya Wanaume na Wanawake katika kukaa bila nguo mbele ya wenzao

Wanaume tunamawazo mabaya sana,unaweza ukaa naked kwa jamaa zako baadae utaona wanakusifia una matako lainiila ni kawaida mm binafsi nimekaa sana uchi kutokana na mazingira,sehem za bording schools na majeshini ni normal tu ila utani lazima uwepo ,unaweza ukashikwa tako na jamaa kisha akatoka nduki,ilimuradi vituko tu ila nitofauti na wanawake wanao weza kushikana makalio na wakasifiana kwa ukubwa na ulaini au chuchu na mengineyo ila siyo men,Ukitaka ugomvi na mtu mshike matako hasa mwanaume mwenzako,
 
wanaume tunamawazo mabaya sana,unaweza ukaa naked kwa jamaa zako baadae utaona wanakusifia una matako lainiila ni kawaida mm binafsi nimekaa sana uchi kutokana na mazingira,sehem za bording schools na majeshini ni normal tu ila utani lazima uwepo ,unaweza ukashikwa tako na jamaa kisha akatoka nduki,ilimuradi vituko tu ila nitofauti na wanawake wanao weza kushikana makalio na wakasifiana kwa ukubwa na ulaini au chuchu na mengineyo ila siyo men,Ukitaka ugomvi na mtu mshike matako hasa mwanaume mwenzako,
Mkuu mtu akushike kalio akimbie umuache tu lazima ale kichapo heavy
 
Sisi wakati tunasoma shule za msingi na sekondari mbona tulikuwa tunaogelea uchi mtoni.

Alafu hata home bro alikuwa na tabia ya kukaa uchi tukiwa room. Imagine mda wa msosi tukiitwa anatoka na boxer tu kifua wazi anakaa mezani.

Maza alikuwa anamwangaliaga tu hasemi kitu. Wamama wana huruma sana. Mzee akiwepo lazima bro avae jeans.
 
Hata mbele ya dem...mwanaume uvae japo boxer kukaa uchi wa mnyama sio mchongo..

Leo ni mara yangu ya pili kusikia ati kuna mwanamume mwoga kukaa mbele ya dem akiwa uchi. Hivi, ina maana huwezi lolote bila kufunga madirisha na kuzima taa?? Nadhani huyo atakuwa team kiba100. Naogopa nini kwa dem ambaye najua hata ka ni siku ya kwanza leo lakini chini ya nusu saa lazima niwe nimesha mlowesha??
Hakuna raha ka kuchujuana viguo vyenu vyote mkabaki uchi. Kuna raha zake na waswahili hiziita "Mdadi" kama hujafanya hivyo; jaribu uulete mrejesho hapa
 
Inategemea na Mazingira wengine tukienda mtoni au bwawani kuogelea tunajiachia tu , labda mwenye govi ndo anaogopa kuvua nguo
 
Back
Top Bottom