Tumeamua Tumekubaliana Hatutaki ndoa,Msitushauri

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,022
Muafaka

Wanahitaji ndoa Muoe au muendelee na kuishi na wake zenu.

Tusiohitaji ndoa,mtuache Tubaki na Maisha tuliyochagua.

Nyuzi za kutushawishi kuingia kwa moto wenu wa ndoa jf zimekuwa nyingi.

Niseme Dunia imebadilika sana,hatuko na muda wa kumpa nafasi huyo anayeolewa awe na kisauti cha juu over.
 
Wanaopiga kelele ni wasio na hizo ndoa. Kila wakati ni kuongelea usioe, usioe. Kila mtu akifanya mambo yake bila mahubiri wala sidhani kama kuna shida.
 
Ata mtaani majitu ya kishafunga ndoa tu siku yakwanza anaanza kushawishi wenzake wafunge , moto mliuanzisha wenyewe.
 
Mtaani kwako ndo walikuanzishia huo moto.
 
Wenye ndoa wamejaza nyuzi za kulalamikia wanawake kwenye jukwaa la mapenz wametusanua mkuu.
Kazini vikwazo vipo lakini hatujawahi kuacha Kaz nakama umeacha bas ni kama ndoa kuvumilia au kusepa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom