Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,022
Habari.
Kwani vipi mbona kulazimishana sana kuoana kwani Tumewaambia Hatutaki.
Mshana Jr uzi wako ule ni mzuri sana ila bado haujaelewa wakataa ndoa wana maanisha nini?
Tafuta muda pitia hoja na uchambue kwa makini utakuja kugundua hao wanakataa ndoa.
Wanakaa na kuishi na wanawake zao vizuri ila hawataki ndoa cheti kuepusha mali kugawana nusu kwa nusu.
Wanaokataa ndoa hata kama hawaishi na mtu ila wanawapenzi wao wanaowajali vizuri tu na maisha yanaenda sawa.
Niweke sawa Hakuna mtu anayekataa ndoa kwenye mlengo wa ushoga kama wengj mnavyooengea.
Muangalie pia Tabia za wanawake wa sasa , kiuhalisia hazishawishi kumuweka ndani na kumuoa;
~ Kiburi.
~ Usaliti.
~ Dharau.
~ Ujuaji.
~ Uchawi.
Zinawafanya wanaume wasiwe na muda tena wa kwenda kula hivyo viapo.
Kingine huduma zote za ndoa tunapata tukiwa hatujaoa, je, tuoe tugundue nini?