livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 968
Leo nilihudhuria leaders pale.
Nilichojifunza, watu wanapenda sana hizi marathon
. Lakini pia ukiwa muhudhuriaji wa hizi mbio aisee suala la kuowa litakuwa mtambuka. Kuna wanawake wazuri na mishepu yao hatari. Na wala hawaringi ukitaka ku interact nae fresh kabisa.
Halafu mizigo ipo ndani ya skin tight wakuu ni balaa.
Wazee na wabibi nao wamo si haba...watoto hali kadhalika wamo yaani. Sema nimechoka kinyama nimeshiriki KM 10 na kuna bogi nilishindwa kulipita nilikuwa nakimbia nyuma yao tu, wale sijui wadada wa taasisi gani.
Ngoja nijipange nyingine ikija tena niende.
NB; picha zipo social media za clauz hukoo ukitaka kaangalie ila waliofika wamejionea uumbaji wa Mungu.
Nilichojifunza, watu wanapenda sana hizi marathon
. Lakini pia ukiwa muhudhuriaji wa hizi mbio aisee suala la kuowa litakuwa mtambuka. Kuna wanawake wazuri na mishepu yao hatari. Na wala hawaringi ukitaka ku interact nae fresh kabisa.Halafu mizigo ipo ndani ya skin tight wakuu ni balaa.