Nimeibiwa au

Nimeibiwa au

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,351
Reaction score
7,105
Habari wakuu

Jana nilitumiwa pesa kiasi cha sh 330000 na mzee wangu kwa namba ya tigo, sasa nilijaribu mara kadhaa kuituma kwa namba yangu ya MTN Uganda ila ilikataa na kusema muamala umesitishwa kwamba Sina Salio la kutosha.

Nakuja kutizama tena salio langu nakuta sh 1000 tu,, nimejaribu pia kuangalia kwenye account yangu ya MTN pia hamna kitu,, wakuu hii imekaaje ndo nimeibiwa au ?
 
Bado unatumiwa pesa na baba yako au ni mzee Sugar daddy? Na uko JF?
 
Jana nilitumiwa pesa kiasi cha sh 330000 na mzee wangu kwa namba ya tigo, sasa nilijaribu mara kadhaa kuituma kwa namba yangu ya MTN Uganda ila ilikataa na kusema muamala umesitishwa kwamba Sina Salio la kutosha.
Itakuwa ulitumiwa message tu, siyo pesa!
 
Ingia MENU ya tigo pesa nenda JIHUDUMIE
omba STATEMENTS ya miamala
Utatuumiwa kwa EMAIL yenye STATEMENTS ya miamala utachagua uketewe ya mida gani
angalis muamsla wa mwisho utaona umeenda wapi ?
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani JF imevamiwa na watu wapumbavu kama wewe,, unajua hizo pesa ni za nini ?
Ni swali mbona povu?Nijue pesa za nini wakati wewe ndio umetumiwa?Ungetaka tusiulize usingepost hapa.Punguza hasira .
 
Hiii! Hili nalo jinga sana sasa humu tutajuaje kama huyo mzee wako ni watuma kwa namba hii
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Habari wakuu

Jana nilitumiwa pesa kiasi cha sh 330000 na mzee wangu kwa namba ya tigo, sasa nilijaribu mara kadhaa kuituma kwa namba yangu ya MTN Uganda ila ilikataa na kusema muamala umesitishwa kwamba Sina Salio la kutosha.

Nakuja kutizama tena salio langu nakuta sh 1000 tu,, nimejaribu pia kuangalia kwenye account yangu ya MTN pia hamna kitu,, wakuu hii imekaaje ndo nimeibiwa au ?
Umetumiwa kwa msg nenda kwa wakala
 
Back
Top Bottom