Sina hisia naye tena, nimjibu vipi bila kumuumiza?

MOST WANTED

JF-Expert Member
Aug 16, 2011
207
175
Way back nilimpenda sana nilionyesha wazi, lakini alikuwa mguu nje mguu ndani kwamba ningemchezea, ilinivunja moyo na toka hapo mawasiliano yalipungua.

Simu sometimes sipokei, sms sijibu au najibu ninavyojisikia. Sasa this time around amerudi na moto. Anatamani sana nizae nae mtoto na swali juu nimjibu kama nampenda. Honestly sina hisia naye tenaaa wadau nimjibu vipi bila kuwa na maneno ya kumuumiza?

It's a real life situation. U got nothing say stay cool. Nitasoma comments zenu.
 
Way back nilimpenda sana nilionyesha wazi, lakini alikuwa mguu nje mguu ndani kwamba ningemchezea, ilinivunja moyo na toka hapo mawasiliano yalipungua. Simu sometimes sipokei, sms sijibu au najibu ninavyojisikia. Sasa this time around amerudi na moto. Anatamani sana nizae nae mtoto na swali juu nimjibu kama nampenda. Honestly sina hisia naye tenaaa wadau nimjibu vipi bila kuwa na maneno ya kumuumiza?

It's a real life situation.... U got nothing say stay cool. Nitasoma comments zenu.
Nilitaka niseme lakini kiingereza kimenivunja moyo sana
 
You still care for her, why care what she thinks. There are 7 billion people on the planet just move on. Life is too short to care for someone who isn't worth it man. .
I got you man,
 
Sasa si umwambie ukweli kaka?

Yeye mbona hakuogopa kukuumiza na alikupausha hadi ukajua?

Mjibu ukweli na uwe huru . Mwambie ulimpenda zamani na sasa honestly huna hisia nae. Mbona simple tu asee, au ni kwamba una hisia nae hutaki kumpoteza ila lengo lako ni kulipa kisasi?
Nakazia
 
Way back nilimpenda sana nilionyesha wazi, lakini alikuwa mguu nje mguu ndani kwamba ningemchezea, ilinivunja moyo na toka hapo mawasiliano yalipungua. Simu sometimes sipokei, sms sijibu au najibu ninavyojisikia. Sasa this time around amerudi na moto. Anatamani sana nizae nae mtoto na swali juu nimjibu kama nampenda. Honestly sina hisia naye tenaaa wadau nimjibu vipi bila kuwa na maneno ya kumuumiza?

It's a real life situation.... U got nothing say stay cool. Nitasoma comments zenu.
Hakuna namna unaweza ishi bila kumuumiza mtu mkuu

Mwambie ukweli, hiyo ndiyo fair
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom